Mbona kama vile kwa jirani kunawaka moto? Au Bado ni Moshi tu?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kuna Mwananchi kamwaga Mafuta kwenye moto, unazidi kusambaa chini kwa chini.

Kila Kuni inataja "zambi" za mwenzie... Huenda week ijayo Ikawa shubiri kwa baadhi ya "wahanga".

Je ni Nini hatma ya "Wahamiaji"? Watawapaje hifadhi wakati moto unawaka nyumba nzima??

Kuna moto huko....
 
Wachache sana watakuelewa mkuu
 
Kipanya buana

20211212_201556.jpg
 
Hizi fisi zinaparuana kweri-kweri

👇
"Najiuliza Mzee Philip Mangula yupo wapi kwa hili linaloendelea kwa Polepole? Kama aliweza kuwahoji makatibu wakuu Wazee Makamba na Kinana, ameshindwa nini kwa Polepole? Naamini, Polepole analo jambo na ukitaka kufanya jambo, usiseme nishikeni nisipigane, wewe pigana tu" - Bulembo
 
Hizi fisi zinaparuana kweri-kweri

[emoji116]

Mkuu jamaaa unafiki wao sio wa dunia hiii
 
Hizi fisi zinaparuana kweri-kweri

[emoji116]
"Najiuliza Mzee Philip Mangula yupo wapi kwa hili linaloendelea kwa Polepole? Kama aliweza kuwahoji makatibu wakuu Wazee Makamba na Kinana, ameshindwa nini kwa Polepole? Naamini, Polepole analo jambo na ukitaka kufanya jambo, usiseme nishikeni nisipigane, wewe pigana tu" - Bulembo
Ccm wanamuogopa sana Polepole maana wakimchefua anatoa siri ya wabunge wale covid 19
 
Kuna Mwananchi kamwaga Mafuta kwenye moto, unazidi kusambaa chini kwa chini.

Kila Kuni inataja "zambi" za mwenzie... Huenda week ijayo Ikawa shubiri kwa baadhi ya "wahanga".

Je ni Nini hatma ya "Wahamiaji"? Watawapaje hifadhi wakati moto unawaka nyumba nzima??

Kuna moto huko....
Kwani zimamoto umewapigia simu?
 
Back
Top Bottom