Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Aiseeeh, wacha inyeshee tuone panapovujaTuombe Mungu.
Wachache sana watakuelewa mkuuKuna Mwananchi kamwaga Mafuta kwenye moto, unazidi kusambaa chini kwa chini.
Kila Kuni inataja "zambi" za mwenzie... Huenda week ijayo Ikawa shubiri kwa baadhi ya "wahanga".
Je ni Nini hatma ya "Wahamiaji"? Watawapaje hifadhi wakati moto unawaka nyumba nzima??
Kuna moto huko....
Usiombee sana inyeshe sana maaa nyingine inkuwa y mafurikoAiseeeh, wacha inyeshee tuone panapovuja
Unazijuaaa viiiieeeeteeeeee lakinUsiombee sana inyeshe sana maaa nyingine inkuwa y mafuriko
Kakataa kuhojiwa na mwana CUF ๐๐๐Tuombe Mungu.
Sisim kiwango chao cha unafiki sio cha dunia hiiiAiseeeh, wacha inyeshee tuone panapovuja
Huyo anaitwa 2 faceUnazijuaaa viiiieeeeteeeeee lakin
Mkuu jamaaa unafiki wao sio wa dunia hiiiHizi fisi zinaparuana kweri-kweri
[emoji116]
"Najiuliza Mzee Philip Mangula yupo wapi kwa hili linaloendelea kwa Polepole? Kama aliweza kuwahoji makatibu wakuu Wazee Makamba na Kinana, ameshindwa nini kwa Polepole? Naamini, Polepole analo jambo na ukitaka kufanya jambo, usiseme nishikeni nisipigane, wewe pigana tu" - Bulembo
Ccm wanamuogopa sana Polepole maana wakimchefua anatoa siri ya wabunge wale covid 19Hizi fisi zinaparuana kweri-kweri
[emoji116]
"Najiuliza Mzee Philip Mangula yupo wapi kwa hili linaloendelea kwa Polepole? Kama aliweza kuwahoji makatibu wakuu Wazee Makamba na Kinana, ameshindwa nini kwa Polepole? Naamini, Polepole analo jambo na ukitaka kufanya jambo, usiseme nishikeni nisipigane, wewe pigana tu" - Bulembo
Kwani zimamoto umewapigia simu?Kuna Mwananchi kamwaga Mafuta kwenye moto, unazidi kusambaa chini kwa chini.
Kila Kuni inataja "zambi" za mwenzie... Huenda week ijayo Ikawa shubiri kwa baadhi ya "wahanga".
Je ni Nini hatma ya "Wahamiaji"? Watawapaje hifadhi wakati moto unawaka nyumba nzima??
Kuna moto huko....
Kula wewe ufaidi na uteseke kwa constipationNipo na popcorn [emoji897] hapa nani anataka??
๐๐Kula wewe ufaidi na uteseke kwa constipation