Mbona kama vile kwa jirani kunawaka moto? Au Bado ni Moshi tu?

Wanatafuta Kiki tu ili kutusahaulisha kesi ya Mbowe Jtatu. Hatudanganyiki hao mafataki
 
Mangula huyu huyu mkuu?...yule mzee mi ndio nilimsoma vizuri alipo kufa magu Yale maneno yake.
 
Ahojiwe mara ngapi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hawa akina bulembo na nape wanazidi kuonesha walishuriki na kuratibu kifo cha Dkt Magufuli. Kauli zao zinaashiria walishiriki hata kutaka kumuua Lisu, pia ndiyo hawa Mbowe wanataka afungwe, ndiyo hawa hawa wanamzunguka mama kuwa ni wakuja wanataka asifike 2025 ili wachukue nchi. Ni kundi hatari halipaswi kunyamaziwa.
 
Kweli CCM wameishiwa think tank, yaani mtu anatoka CUF na kwenda moja kwa moja kuwa katibu Mkuu wa CCM!

Ndiyo sababu Prof. Lipumba alisema "CCM kwisha kabisa, kifo cha mende"
Ndiyo maana ealiwanunua waliokubali kununuliwa kutoka upinzani ili wapunguze ombwe
 
Sikuwahi kuwaza hivi, Asante sana mwana CCM, kwahio kumbe "Magu aliuwawa na Wana CCM?" Na kwamba CCM Kuna kundi hatari?
 
Wahamiaji waliletwa na mvua za masika,so 2025 wakatafute pa kulima Shamba limerudi kwa wenyewe.
Wabunge wa Magufuli wote mwisho wa 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…