Mbona Kelvin Twissa amezeeka ghafla?

Mbona Kelvin Twissa amezeeka ghafla?

Picha tu hiyo. Mbona blaza bado anang'aa. Na ndevu nyeupe siku hizi ni bonge la swagga la fashion ya uanaume. Wanaita Golden Young.
Nilimuona last year kwenye event flani kama panelist, ni kweli kaenda age kiasi ila ni kawaida kuona kabadilika maana jamaa sio celebrity kwa hiyo kumuona kwa media ni nadra.

Pia jamaa ni kichwa sana, alikuwa anatema madini hadi mtu unatabasamu, kweli anastahili kuitwa marketing mogul maana mchango wake kwenye marketing ya mitandao ya simu ni undisputed. Bado kwenye boxing napo anapapigania, respect kwake
 
Back
Top Bottom