Mbona Kelvin Twissa amezeeka ghafla?

Mbona Kelvin Twissa amezeeka ghafla?

Mungu akikupa uhai kuna siku mvi zitatoka tu, hata sehemu zisizo za wazi. Uzee ni mbaraka ambao siyo wote duniani wanaupata. Wengi wanakufa bila kuufikia.
Madhara ya kunyowa ndevu na magic ndio hayo, wengi hawaelewi kwa nini watoto wadogo siku hizi wanatoka mvi videvuni na siyo kichwani.
 
Mr Twissa is prolly trying to present himself as the alpha male, gorilla silver back; which understandably is compatible with his line of business. Most likely just a gimmick. He could be a pussy in actuality.
 
Nilimuona last year kwenye event flani kama panelist, ni kweli kaenda age kiasi ila ni kawaida kuona kabadilika maana jamaa sio celebrity kwa hiyo kumuona kwa media ni nadra.

Pia jamaa ni kichwa sana, alikuwa anatema madini hadi mtu unatabasamu, kweli anastahili kuitwa marketing mogul maana mchango wake kwenye marketing ya mitandao ya simu ni undisputed. Bado kwenye boxing napo anapapigania, respect kwake
Hivi bado yupo Sport Pesa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka pichA yake ya 10 years ago ulinganishe na hiyo

Kakataa TU kuweka black kama madingi wengine

He is a man not a boy
Aisee Arif kama mimi kipara kimeamua kunitendea miujiza... nimekuwa zungu la unga. Kipara hakiendani na umaskini
 
Laaana ya kupenda kula utumbo mkubwa wa watoto wa kiume wa kinondoni.
 
Hivi kampuni yake ya Jackson group inaendeleaje?
Jamaa kawatia sana malaya wa mjini hapo wa enzi hizo.
 
Hao watakuwa wajukuu kwa watoto wa kiume [ Abinar, Fred, Yesaya] au kwa watoto wa kike?
Abinar na Fred wote wana kampuni za marketing hapa Town.jamaa wako njema sana kimkwanja.
 
Back
Top Bottom