Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Madhara ya kunyowa ndevu na magic ndio hayo, wengi hawaelewi kwa nini watoto wadogo siku hizi wanatoka mvi videvuni na siyo kichwani.Hiyo nayo ni taabu tupu. Vishina vyeupe halafu juu kweusi!
Madhara ya kunyowa ndevu na magic ndio hayo, wengi hawaelewi kwa nini watoto wadogo siku hizi wanatoka mvi videvuni na siyo kichwani.
Hii inahusiana vipi na madhara ya kutumia magic?Mungu akikupa uhai kuna siku mvi zitatoka tu, hata sehemu zisizo za wazi. Uzee ni mbaraka ambao siyo wote duniani wanaupata. Wengi wanakufa bila kuufikia.
Hivi bado yupo Sport Pesa?Nilimuona last year kwenye event flani kama panelist, ni kweli kaenda age kiasi ila ni kawaida kuona kabadilika maana jamaa sio celebrity kwa hiyo kumuona kwa media ni nadra.
Pia jamaa ni kichwa sana, alikuwa anatema madini hadi mtu unatabasamu, kweli anastahili kuitwa marketing mogul maana mchango wake kwenye marketing ya mitandao ya simu ni undisputed. Bado kwenye boxing napo anapapigania, respect kwake
Hapana maana aliondoka kitambo kissi na Kwa sasa ana business Agency inaitwa Jackson Group
Aisee Arif kama mimi kipara kimeamua kunitendea miujiza... nimekuwa zungu la unga. Kipara hakiendani na umaskiniWeka pichA yake ya 10 years ago ulinganishe na hiyo
Kakataa TU kuweka black kama madingi wengine
He is a man not a boy
Abinar na Fred wote wana kampuni za marketing hapa Town.jamaa wako njema sana kimkwanja.Hao watakuwa wajukuu kwa watoto wa kiume [ Abinar, Fred, Yesaya] au kwa watoto wa kike?
Stress za ndoa
Belaaaaa, una nini lakini wewe jameeeeni??? 🤣🤣🤣🤣🤣Yaani kassim nampa salute,halafu ile style yake ya uchanaji nywele hata kimbunga kikitokea hazivurugiki[emoji23]
Belaaaaa, una nini lakini wewe jameeeeni??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]