Hili ndio jibu lake.Wasanii wengi ni vilaza hawana elimu
Diamond sababu kawazidi mafanikio mbali.. wanamuona ndio amechukua nyota zao wote.. huku uhalisia wao hawana ubunifu kama diamond.
Baadhi ya watu waliodhulumu sana haki za wasanii walipata kuwepo, wapo kwenye uongozi wa domo.na nyoka haachi sumu.Toka Diamond atoke kimuziki hakuna mwaka haujapita bila msanii mwenzie yeyote kumlalamikia either anawaroga na kuwaibia nyota au anawafanyia figusu wasiendelee kimziki.
Wasanii kama Qchilla, mavoko, ommy dimpoz, tunda man, alikiba, nandy, aslay, Professor jay, darassa, harmonize etc wote wamemlalamikia kwa mambo hayo
Je, unahisi ni kwamba wote wanamsingizia au wote wana chuki nae binafsi au kweli ndo mambo yake kuiba nyota za wenzie?
Good observation.Jay z mwenyewe huko mbele analalamikiwa
Ova
Simkubali mondi lakiniGood observation.
Diamond = Jay Z