GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Mwanangu Haji Manara na Mdogo wake wa mwisho wa Kike ndiyo wana Simba SC kindakindaki tokea wakiwa Wadogo ndani ya Familia yangu wakiwa wamemfuata Bibi yao Mzaa Baba ambaye alikuwa ni mwana Simba SC hakuna mfano" amesema Mzazi wa Haji Manara Mzee Manara alipohojiwa na EFM Radio mwaka 2022.
Halafu niulizieni kwa Haji Manara je, ameacha tabia yake ya kuwapigia Simu Wachezaji wa Simba SC (hasa Nahodha Tshabalala, Muzamiru na Rafiki yake mkubwa Kipa Manula) kuwalalamikia kama wakiwa wanapata Matokeo mabaya na huku akiwapongeza pale wakifanya vyema huku akijijua Yeye ni mwana Yanga SC?