GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unapotoa post kama hii alafu hakuna clip..ni ujinga ."Mwanangu Haji Manara na Mdogo wake wa mwisho wa Kike ndiyo wana Simba SC kindakindaki tokea wakiwa Wadogo ndani ya Familia yangu wakiwa wamemfuata Bibi yao Mzaa Baba ambaye alikuwa ni mwana Simba SC hakuna mfano" amesema Mzazi wa Haji Manara Mzee Manara alipohojiwa na EFM Radio mwaka 2022.
Halafu niulizieni kwa Haji Manara je, ameacha tabia yake ya kuwapigia Simu Wachezaji wa Simba SC (hasa Nahodha Tshabalala, Muzamiru na Rafiki yake mkubwa Kipa Manula) kuwalalamikia kama wakiwa wanapata Matokeo mabaya na huku akiwapongeza pale wakifanya vyema huku akijijua Yeye ni mwana Yanga SC?
Mmmmmm ajira kakaa.....na njaa iko kichwani acha asogeze siku umri nao....umesonga...."Mwanangu Haji Manara na Mdogo wake wa mwisho wa Kike ndiyo wana Simba SC kindakindaki tokea wakiwa Wadogo ndani ya Familia yangu wakiwa wamemfuata Bibi yao Mzaa Baba ambaye alikuwa ni mwana Simba SC hakuna mfano" amesema Mzazi wa Haji Manara Mzee Manara alipohojiwa na EFM Radio mwaka 2022.
Halafu niulizieni kwa Haji Manara je, ameacha tabia yake ya kuwapigia Simu Wachezaji wa Simba SC (hasa Nahodha Tshabalala, Muzamiru na Rafiki yake mkubwa Kipa Manula) kuwalalamikia kama wakiwa wanapata Matokeo mabaya na huku akiwapongeza pale wakifanya vyema huku akijijua Yeye ni mwana Yanga SC?
Ipo kwny instagram ya tv yake Manara Tv..Clip iko wapi na sisi wa huku Manyoni kijijini ndani ndani tuone?
Huyu jamaa alikuwa kwenye BAN ama?! Naina tulipumzika na pumba humu jamvini"Mwanangu Haji Manara na Mdogo wake wa mwisho wa Kike ndiyo wana Simba SC kindakindaki tokea wakiwa Wadogo ndani ya Familia yangu wakiwa wamemfuata Bibi yao Mzaa Baba ambaye alikuwa ni mwana Simba SC hakuna mfano" amesema Mzazi wa Haji Manara Mzee Manara alipohojiwa na EFM Radio mwaka 2022.
Halafu niulizieni kwa Haji Manara je, ameacha tabia yake ya kuwapigia Simu Wachezaji wa Simba SC (hasa Nahodha Tshabalala, Muzamiru na Rafiki yake mkubwa Kipa Manula) kuwalalamikia kama wakiwa wanapata Matokeo mabaya na huku akiwapongeza pale wakifanya vyema huku akijijua Yeye ni mwana Yanga SC?
Pumba zimerudi tena Jinyonge sasa.Huyu jamaa alikuwa kwenye BAN ama?! Naina tulipumzika na pumba humu jamvini
Na bado tu Juha (Fool) Wewe unaendelea kuzipotezea muda wako kwa Kuzifungua na Kuzisoma mwanzo mwisho.Nyuzi za kuokoteza as usual
So sad
Aliyekuambia huyo mwanaume ni nani? Huyo ni demu wa kinyarwanda anajifanya tom boiHizo pigo ni za mademu wa uswazi, watoto wa kiume huwa hawana tabia za umbea umbea. Ulikosa namba ya Manara ukampigia simu ukamuuliza hayo maswali
Mnateseka sana na manara yupo sana yanga na tunaimani Naye."Mwanangu Haji Manara na Mdogo wake wa mwisho wa Kike ndiyo wana Simba SC kindakindaki tokea wakiwa Wadogo ndani ya Familia yangu wakiwa wamemfuata Bibi yao Mzaa Baba ambaye alikuwa ni mwana Simba SC hakuna mfano" amesema Mzazi wa Haji Manara Mzee Manara alipohojiwa na EFM Radio mwaka 2022.
Halafu niulizieni kwa Haji Manara je, ameacha tabia yake ya kuwapigia Simu Wachezaji wa Simba SC (hasa Nahodha Tshabalala, Muzamiru na Rafiki yake mkubwa Kipa Manula) kuwalalamikia kama wakiwa wanapata Matokeo mabaya na huku akiwapongeza pale wakifanya vyema huku akijijua Yeye ni mwana Yanga SC?
Punguza sungura hapo kawe kijana mdogo wewePumba zimerudi tena Jinyonge sasa.
Yupo sahihi mwenye tabia za mademu wa uswazi ni manara GENTAMYCINE anafichua unafiki wa manara huwezi ukawa unaiponda hadharani club unayoipenda halafu gizani unaipenda.Hizo pigo ni za mademu wa uswazi, watoto wa kiume huwa hawana tabia za umbea umbea. Ulikosa namba ya Manara ukampigia simu ukamuuliza hayo maswali