Mbona kila nikiangalia 'Clip' ya Manara akishangilia Ushindi wa Yanga SC Kwake jana nao Furaha yake ni ya Kujilazimisha tu?

Haji Manara hajawahi kuwa shabiki wa Yanga. Na alishawahi kukiri hilo kwenye moja ya interview yake kipindi cha nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…