S saigilomagema JF-Expert Member Joined Jun 5, 2015 Posts 4,683 Reaction score 7,222 Mar 9, 2024 #1 Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi?
Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 9, 2024 #2 Inasikitisha sana
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Mar 9, 2024 #3 saigilomagema said: Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi? Click to expand... Ni kweli mgao umekwisha ila kinachotokea sasa ni kukatika tu kwa umeme ili kutoa oili chafu kwenye mitambo ili mwanga uwe mpevu zaidi. Wananchi endeleeni kuwa wavumilivu msiwasikilize wapinzani.
saigilomagema said: Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi? Click to expand... Ni kweli mgao umekwisha ila kinachotokea sasa ni kukatika tu kwa umeme ili kutoa oili chafu kwenye mitambo ili mwanga uwe mpevu zaidi. Wananchi endeleeni kuwa wavumilivu msiwasikilize wapinzani.
B Bigstone JF-Expert Member Joined Jan 16, 2023 Posts 1,433 Reaction score 2,079 Mar 9, 2024 #4 saigilomagema said: Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi? Click to expand... Mh Samia asipokuwa makini,ataendelea kuhujumiwa hadi basi! Hii ni hujuma wala si mgao
saigilomagema said: Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi? Click to expand... Mh Samia asipokuwa makini,ataendelea kuhujumiwa hadi basi! Hii ni hujuma wala si mgao
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 9, 2024 #6 Poleni sana... Cc: Mahondaw
std7 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 2,293 Reaction score 3,928 Mar 9, 2024 #7 Bora ata ule mgao wa mwanzo huu wa sasa ni kiboko. Si kikatiti tu mchai, USA, Tengeru kote huko ni mgawo. Na si tu meneja wa TANESCO Arumeru kazi imemshinda ata mkuu wa wilaya Imanuela na mbunge John D wote ni mizigo kwa wana Arumeru.
Bora ata ule mgao wa mwanzo huu wa sasa ni kiboko. Si kikatiti tu mchai, USA, Tengeru kote huko ni mgawo. Na si tu meneja wa TANESCO Arumeru kazi imemshinda ata mkuu wa wilaya Imanuela na mbunge John D wote ni mizigo kwa wana Arumeru.