Mbona kimsingi mgawo wa umeme umeisha? Kwanini meneja wa wilaya ya Arumeru unatunyanyasa wananchi wa Kikatiti?

Mbona kimsingi mgawo wa umeme umeisha? Kwanini meneja wa wilaya ya Arumeru unatunyanyasa wananchi wa Kikatiti?

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
4,683
Reaction score
7,222
Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi?
 
Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi?
Ni kweli mgao umekwisha ila kinachotokea sasa ni kukatika tu kwa umeme ili kutoa oili chafu kwenye mitambo ili mwanga uwe mpevu zaidi.

Wananchi endeleeni kuwa wavumilivu msiwasikilize wapinzani.
 
Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi?
Mh Samia asipokuwa makini,ataendelea kuhujumiwa hadi basi!
Hii ni hujuma wala si mgao
 
Bora ata ule mgao wa mwanzo huu wa sasa ni kiboko.

Si kikatiti tu mchai, USA, Tengeru kote huko ni mgawo.

Na si tu meneja wa TANESCO Arumeru kazi imemshinda ata mkuu wa wilaya Imanuela na mbunge John D wote ni mizigo kwa wana Arumeru.
 
Back
Top Bottom