Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Lindi iko mwambao wa pwani(Factor kubwa kwa ukuaji wa miji/mji), ina beach nzuri (biashara, utalii, uvuvii), ina makumbusho ya majengo ya kale ambayo pia ni utalii wa kihistoria, bado ina ardhi na vinginevyo!
Mkoa wa Lindi una wilaya sita (6)
1-Kilwa
2-Lindi mjini
3-Mtama
4-Ruangwa
5-Nachingwea
6-Liwale
1. Kilwa ni wilaya iliopo mwambao wa bahari.
Wilaya hii ni maarufu kwa magofu ya zamani, uvuvi na biashara.
Licha ya kuwa ni mji mkongwe zaidi Tanzania na wenye uwingi wa historia ya kale lakini bado ni sehemu inayopokea watalii wachache sana ukilinganisha na miji kongwe kama Bagamoyo na Zanzibar