Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Yeah wako na beach mzuri sana hawa jamaaView attachment 2306268
View attachment 2306269
View attachment 2306270
View attachment 2306271
Mkuu ukiongelea Location mi nakataa
kwasababu:
-Lindi iko mwambao wa pwani (Factor kubwa kwa ukuaji wa miji/mji)
-Lindi ina beach nzuri (biashara, utalii, uvuvii)
-Lindi ina makumbusho ya majengo ya kale nayo pia utalii wa kihistoria
-Bado ina ardhi na vinginevyo
Huwezi fananisha na mji kama Iringa au Sumbawanga ambayo ni landlocked.