Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Mbona masasi inakua mbona bagamoyo inakua hiyo sio sababu ya msingi ,tanga iko karibu na dar kuliko lindi lakini sku izi mji unakua
 
IMG_2103.jpg

IMG_2103.jpg

IMG_2101.jpg

Lindi mjini na Ruangwa
 
Lindi ilipaswa kuwa sehemu ya mkoa wa Mtwara kama wilaya tu. Hii mikoa ugawanyaji wake sijui umezingatia nini.

Lindi inaeneo kubwa sana mkuu,,, kuliko hata mtwara yenyewe
 
  • Thanks
Reactions: apk
Veta ipo mwanzo kabisa ukiwa unaingia mjini..pia kuna chuo cha matabibu.

Hakuna tawi la chuo kikuu.

#MaendeleoHayanaChama
huo ndo mwanya magaid hutumia , soon tutakuwa cabo delgado
 
Kwann donasors ndo nembo ya uko
Alionekana au walikuwepo wanapatikana Lindi..ushahidi ni mabaki/ fuvu ambalo lilichukuliwa na Wajerumani na limewekwa kwenye makumbusho huko kwao na kuwaongezea utalii.
Kwa muda mrefu watu wa Lindi wamekuwa wakidai fuvu hilo kurejeshwa nchini.
 
Sasa likirejeshwa watalifaidia nini wakati hata hizo museums za kitaifa zinategemea wafadhili.
 
Back
Top Bottom