Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Wanakanyagwa migongo na kughalaghala chini huko kusifia Watawala 😂😂😂
 
uchawi na ulozi unai cost sana Lindi.

mkoa unaoongoza kwa kuwa na nguvu za giza Tz, watajuta wasipobadilika.



JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Wewe ni wa wapi!
🤣🤣🤣🤣

Atakwambia ye wa dar!!!

Hii dunia Acha kabisa!

Usipotembea utapigwa sana humu, sanaaa. Watu wanavyoongea utafikiri wanatoka new York au Brussels. Fika sasa maeneo mengine ya Tanzania hii ujionee maajabu. Mwisho, waranzania tu wajinga sana!!
 
Mzee magufuli alipigwa tukio mkoani lindi hii yote ni kutokana na kauli ya dharau na kiburi aliyokaitoa juu ya sisi watu wa kusini
 
Wafilipi 2:
(Philippians)

9. Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
---------------
Therefore God also has highly exalted Him and given Him the name which is above every name,


10. ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
---------------
that at the name of Jesus every knee should bow, of those in heaven, and of those on earth, and of those under the earth,


11. na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
---------------
and that every tongue should confess that Jesus Christ is Lord, to the glory of God the Father.
 
Sure!
Maisha Lindi ni very expensive sana, Kuna miaka niliishi hapo nikauliza wenyeji mbona vitu ni way too expensive? wakanijibu

"Huku kitu Cha bei rahisi ni chumvi na mwananke" 🤣🤣
Aaaahaaa
 
Ukienda Mwanza ,Kahama ,Arusha na hta Moshi kuna watu hawajui kuna mkoa wa Lindi sjui watu wake hawatembei.
 
Back
Top Bottom