Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Sasa unacheka nini...

Ingawa hiyo picha ni ya zamani sana...lakin hilo swala sio la kucheka...

Tazama hii video ujue kwa nini Bukoba inakuwa hivyo...huyu foreigner kaelezea vizuri na upumbavu wa serikali yetu kwenye maendeleo ya bukoba..

Usilaumu serikali, hiyo Ni halmashauri yenu Kwa kushirikiana na Madiwani wenu
 
Ishu ya kiroho zaidi pana mtu aliielezea hii. Mikoa yote iliyofanyika matambiko ya kuitambikia nchi wasahau kuhusu maendeleo
 
Ishu ya kiroho zaidi pana mtu aliielezea hii. Mikoa yote iliyofanyika matambiko ya kuitambikia nchi wasahau kuhusu maendeleo
Ata mm nilisikia ivyoo manaa ata bagamoyo si ya kuwa ivi ilivyoo Ila naamini miaka ijayo mambo yatabadilika Kama wasukuma wameahaingia Lindi basi maendeleo yataoneknaa maeneo yenye wafugaji wakisukuma wanazijua sana fursa has kulima biashara
 
Kwa hiyo bila kuingia Wasukuma, nyie wenyewe hamuwezi?
 
Tuwe wawazi tu tatizo ni umwinyi na uchawi hapo Lindi. Sehemu yeyote ambako uchawi umetamalaki hainaga maendeleo.

Watu hawavutiwi kuja sababu mji hauna hamasa za kiuwekezaji. Asilimia kubwa ya wana Lindi wana kipato cha hand to mouth. Sasa nani atapeleka hela huko?
Sikupingi mkuu extrovert.
 
Kigoma nako hakuwezi kuendelea kwa style yao ya kuvimbiana kiulozi. Sehemu ambayo haina muingiliano sana wa makabila ni ngumu sana kuendelea. Watu wanakatana mikia yani kutoboa lazima uwe alwatani wa ulozi [emoji23][emoji23][emoji23] kila mmoja hataki utoboe wote muwe sawa tu
Wote muwe sawa?[emoji23][emoji23]
 
Ishu ya kiroho zaidi pana mtu aliielezea hii. Mikoa yote iliyofanyika matambiko ya kuitambikia nchi wasahau kuhusu maendeleo
Kama tanga.naskia kuna wazee walimuita mkuu wakamwambia ruka hapa ,baada ya kuruka mkolon amekwisha.ndioo unamaanisha hio? Au wakina mzee komwe wakomwe
 
Sharti la tambiko lilikuwa lazima mkoa litakapofanyika wananchi wa mkoa huo uwezo wao wa kufikiri unapungua
 
Attachments

  • 7b6f391e64734eb39db7d31524daea7a.jpg
    7b6f391e64734eb39db7d31524daea7a.jpg
    70.3 KB · Views: 20
Back
Top Bottom