Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Veta ipo mwanzo kabisa ukiwa unaingia mjini..pia kuna chuo cha matabibu.

Hakuna tawi la chuo kikuu.

#MaendeleoHayanaChama
Shukrani kwa ufafanuzi; elimu ni ufunguo wa maisha. Vyuo vikuu vifungue japo matawi Lindi ili wananchi wawe na mwamko na mtazamo mpya. Otherwise, maeneo kama haya huwa ni tatizo - ni mazalia bora ya wale jamaa!
 
Sure!
Maisha Lindi ni very expensive sana, Kuna miaka niliishi hapo nikauliza wenyeji mbona vitu ni way too expensive? wakanijibu
"Huku kitu Cha bei rahisi ni chumvi na mwananke" [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shukrani kwa ufafanuzi; elimu ni ufunguo wa maisha. Vyuo vikuu vifungue japo matawi Lindi ili wananchi wawe na mwamko na mtazamo mpya. Otherwise, maeneo kama haya huwa ni tatizo - ni mazalia bora ya wale jamaa!
Nasikia UDSM wana mpango wa kufungua tawi la marine..ngoja tusubiri tuone.

#MaendeleoHayanaChama
 
Lindi pamenyata sana.

Sema wanawake wa hapo viuno feni..wametumwa kuridhisha mwanaume.

#MaendeleoHayanaChama
Nisiwacheke sana Lindi, maana mwenyewe kwetu hali ni hiyo hiyo japo kuna nafuu kidg. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena bora lindi watajivunia Bahari na bandari,. Sisi Ruvuma ni vumbi tyuuh. Sisi ndo tulikosea nn Dunia, sio kwa mkoa wetu khaaah.
 
Shoo inaanza karibia 70% ya mkoa ni mapori.. mji umejaa umwinyi sana na kurogana.. kiufupi wakazi hasa lindi mjini ni watu wa ndumba sana.

Hili hupelekea vijana wengi kuukimbia huu mkoa na kwenda DSM kusaka maisha na hawarudi kuwekeza kwao.

Asilimia kubwa ya watu walindi sio wasomi yaani hawana elimu dunia bali elimu akhera hili nalo tatizo.

Licha ya kuwa na ardhi nzuri na rasilimali nyingi bado miundombinu hususani barabara hazifiki maeneo mengi hasa vijijini.. maji safi tatizo umeme nao tatizo.

Wajanja wanapata hela sana Lindi kwa maana ya mazao kama ufuta, korosho, mbaazi n.k.

Karibu sana Lindi Ruangwa.

#MaendeleoHayanaChama
Shida ni elimu. Hizi zimambo nyingine za Imani z inaletwa na tamaduni ya watu wa kule kushindwa kukubaliana na maisha ya kisasa(more resistant to modernity)
 
Wanaroga sio mchezo halafu kule mademu maji mara moja watoto la sita tu mtu mzima ukiingia unaelea wanatumia sana uzazi wa mpango
Hili suala lipo mikoa yote ya pwani ya kusini..mtoto wa darasa la saba ni mtu mzima anayajua mengi..dawa za mpango wa uzazi wanakunywa kama panadol.

Ndio maeneo ambapo hadi leo unyago unachezwa vilivyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom