Acheni dharau kwa Lindi.
MRADI WA LNG unaotarajia kuanza muda si mrefu ndio unakwenda kubadilisha kila kitu.
Rais kaamlisha Airport iboreshwe
Chuo cha masuala ya Gas kitajengwa
UDSM nao washachukua eneo na soon wanajenga
Chuo cha Masuala ya Mahakama
Open University
Eneo la viwanda Kutokana na MRADI wa LNG. N.k
Sasa wewe bweteka na kuidharau Lindi, wenzako wanakwenda Lindi kuchukua maeneo na kuwekeza
Baada ya Dar, soon Lindi ndio inakwenda kuwa na kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi hapa Tanzania.
You know why? Huu MRADI wa LNG utajengwa km chache kutoka centre of the Town, hivyo mzunguko wa Pesa utaonekana Directly kwa wakazi wa hii Manispaa.