Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Jambo ambalo wengi hawalijui maendeleo ya mkoa siku zote inatokana na 'promosheni' ya serikali kuelekeza miradi yote ya kimaendeleo katika mkoa husika,hivi katika hii nchi kuna mikoa yenye ukame na watu wake masikini katika hii nchi tofauti na Dodoma au singida? ila ona serikali imeelekeza miradi ya kimaendeleo katika hiyo mikoa leo inaonekana ya maana kuliko Lindi;Dodoma imehamishiwa serikali,kumejengwa vyuo vikubwa vingi...

Singida pia wamejenga ndaki nyingi za vyuo kama vile uhazili,chuo cha uhasibu n.k

Sasa nashangaa shoga mmoja anakuja hapa kulalama kwamba Lindi hawana barabara nzuri mara ooh sijui Lindi pakame, mara hawana chuo,sijui mzunguko wa hela mdogo sasa hayo yote ni wajibu wa raia au serikali?

Matumaini yangu: kama serikali itaipa Lindi kipau mbele kwa kuipelekea miradi ya kimaendeleo kama vile bandari,vyuo,na miradi mingine mingi ya kimaendeleo basi itapiga hatua kubwa mno kwani fursa zipo nyingi sana katika huu mkoa.

Watu wa bara mnatusumbua sana ila huku kwenu hakuna jipya,uchawi upo,roho mbaya,kuuana hovyo ndugu zenu hawataki kusoma bali wamekalia kuchunga mifugo na kuolewa mapema.Hadi wa leo mnafanya barter trade yani unapata mke kwa ng'ombe au mbuzi kadhaa.[emoji23]
#mafwalanyinyi!
 
Nilichogundua humu watu wengi hawajawahi hata kufika huko Lindi ila wanehadithiwa tu,

Pamoja na kuwa mengine ni ya ukweli Bado mengi ni ya uongo.

Halafu watu wa kaskazini huwa wanapenda kuisema vibaya kusini utadhani kwao pazuri, ukitaka uone unafiki wao tembea Kwanza.

Mfano mzuri kuanzia Moro town mpaka Dodoma kupo hovyo hatari Bora hata huko kusini.

Mtu anakosoa nyumba za kusini halafu haoni vibanda vya Dodoma 😀😀😀
 
Pamoja na yote, kukosekana maamuzi ya makusudi ya Serikali kuikuza, kumeidumaza sana Lindi.

Niamini, bila jitihada za Serikali na Taasisi zake, Jiji kama Dodoma lingekuwa nyuma zaidi ya Lindi.

Isingekuwa gari kuzima ghafla, inawezekana Chato ingekuwa miongoni mwa miji ya mfano Tanzania.
 
Jambo ambalo wengi hawalijui maendeleo ya mkoa siku zote inatokana na 'promosheni' ya serikali kuelekeza miradi yote ya kimaendeleo katika mkoa husika,hivi katika hii nchi kuna mikoa yenye ukame na watu wake masikini katika hii nchi tofauti na Dodoma au singida? ila ona serikali imeelekeza miradi ya kimaendeleo katika hiyo mikoa leo inaonekana ya maana kuliko Lindi;Dodoma imehamishiwa serikali,kumejengwa vyuo vikubwa vingi...

Singida pia wamejenga ndaki nyingi za vyuo kama vile uhazili,chuo cha uhasibu n.k

Sasa nashangaa shoga mmoja anakuja hapa kulalama kwamba Lindi hawana barabara nzuri mara ooh sijui Lindi pakame, mara hawana chuo,sijui mzunguko wa hela mdogo sasa hayo yote ni wajibu wa raia au serikali?

Matumaini yangu: kama serikali itaipa Lindi kipau mbele kwa kuipelekea miradi ya kimaendeleo kama vile bandari,vyuo,na miradi mingine mingi ya kimaendeleo basi itapiga hatua kubwa mno kwani fursa zipo nyingi sana katika huu mkoa.

Watu wa bara mnatusumbua sana ila huku kwenu hakuna jipya,uchawi upo,roho mbaya,kuuana hovyo ndugu zenu hawataki kusoma bali wamekalia kuchunga mifugo na kuolewa mapema.Hadi wa leo mnafanya barter trade yani unapata mke kwa ng'ombe au mbuzi kadhaa.[emoji23]
#mafwalanyinyi!
Nadhani paragraph ya mwisho imeonyesha jinsi gani huna adabu na nidhamu na haikuwa na haja kuonyesha ujinga wako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wakazi wa Lindi siyo consumer wazuri wa bidhaa lakini pia mkoa huu una watu wachache sana. Hivyo hauwezi kuwa kuvutia kibiashara kwa mtu yeyote anayetaka kuwekeza.

Lakini pia mkoa huu hauna mwingiliano wa wageni kutoka sehemu zingine hivyo population yake ni kama homogenous hivi haina kichocheo cha mabadiliko.

Kwa experience yangu mkoa wowote ukikuta hauna wachaga, wasukuma, wakinga, na waha ujue hauna fursa za kiuchumi.

Hayo makabila yanajua Kunusa fursa za uchumi kuliko panya Magawa Lindi haina hii sifa.
Huwa wanakuja ila hupigwa ndumba na fitina na kukimbia hata miaka mitano wengine huwa hawafikishi wanasepa hata watumishi huwa hivyo hivyo
 
Kuwa na elimu akhera ni tatizo?
Shoo inaanza karibia 70% ya mkoa ni mapori.. mji umejaa umwinyi sana na kurogana.. kiufupi wakazi hasa lindi mjini ni watu wa ndumba sana.

Hili hupelekea vijana wengi kuukimbia huu mkoa na kwenda DSM kusaka maisha na hawarudi kuwekeza kwao.

Asilimia kubwa ya watu walindi sio wasomi yaani hawana elimu dunia bali elimu akhera hili nalo tatizo.

Licha ya kuwa na ardhi nzuri na rasilimali nyingi bado miundombinu hususani barabara hazifiki maeneo mengi hasa vijijini.. maji safi tatizo umeme nao tatizo.

Wajanja wanapata hela sana Lindi kwa maana ya mazao kama ufuta, korosho, mbaazi n.k.

Karibu sana Lindi Ruangwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Lindi kunawaislam wengi sana ndio maana
Miji mingapi ina waislamu wengi na imeendelea, kila mji una Waislamu wengi kuliko hiyo Lindi, ishu ni uwekezaji tu, dini haina uhusiano na maendeleo, uwekezaji ndio una matter
 
Hapo ndio town kati.. Lindi kumepoa sana asee.. Kama mpambanaji bora ukaishi Masasi kuliko Lindi.

#MaendeleoHayanaChama
Mzee upo sahihi, Lindi bado kuna umwinyi sana...ukiwa mpambanaji Masasi panafaa sana maana pamechangamka kuliko hata Mtwara.
 
Soko la lindi!!..
Ina maana yale masoko ya kisasa yanayojengwa kila mkoa huku hamna

View attachment 2306512
View attachment 2306513
Hii picha ni soko dogo la wauza samaki pale feri, lakini pale pale pembeni kuna soko zuri hujapiga picha ,alafu unapost sana majengo ya zamani wakati kuna majengo makubwa na mazuri mengi hujataka kuyapiga picha

NB Mimi sio mzaliwa wa Lindi japo nipo Lindi muda huu, kuhusu kupoa ni kweli pamepoa, sababu kubwa ni udini ,kuna UISLAMU sana, kwaiyo watu wanaishi kidini sana ,wageni wameanza kujaa ndio wanachangamsha mji ,

UJUMBE ,USIPOST PICHA ZA MAGOFU PEKEE
 
Ukitaja Lindi nakumbuka vitu vinne.

Kariakoo ya Lindi.
Mudhihiri Mudhihiri.
Nchinga Sound.
Ilulu stadium.
 
Back
Top Bottom