Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Ila kwa uchawi nawavulia kofia,uko palepale town,huendi mbali...
 
Sure!
Maisha Lindi ni very expensive sana, Kuna miaka niliishi hapo nikauliza wenyeji mbona vitu ni way too expensive? wakanijibu

"Huku kitu Cha bei rahisi ni chumvi na mwananke" 🤣🤣
Na mwananke naye anauzwa!!!!!🤔🤔🤔🤔
 
Tuwe wawazi tu tatizo ni umwinyi na uchawi hapo Lindi. Sehemu yeyote ambako uchawi umetamalaki hainaga maendeleo.

Watu hawavutiwi kuja sababu mji hauna hamasa za kiuwekezaji. Asilimia kubwa ya wana Lindi wana kipato cha hand to mouth. Sasa nani atapeleka hela huko?
Yale yale ya mji wa Kigoma?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kigoma nako hakuwezi kuendelea kwa style yao ya kuvimbiana kiulozi. Sehemu ambayo haina muingiliano sana wa makabila ni ngumu sana kuendelea. Watu wanakatana mikia yani kutoboa lazima uwe alwatani wa ulozi 😂😂😂 kila mmoja hataki utoboe wote muwe sawa tu
Yale yale ya mji wa Kigoma?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Huo mkoa tungeishi watu kama sisi, ningepasuka kwa pesa, maana ufuta na mbaazi ni mazao ya pesa
 
Nadhani pia Lindi inaongoza kwa ulozi na uchawi kwa mujibu wa takwimu za mwaka jana. Hiyo factor ina athari hasi kwa mkoa.

YESU NI KRISTO
Watu wa huko simiyu sijui gambosi,watu wa huko kazula mimba,watu wa huko sumbawanga, wajita wa huko Tarime,watu wa huko misenyi kanyigo na watu wa huko Ngara tutawaweka kwenye kipengele gani maana huko kuna ulozi sii kawaida.
 
Nilipita hapo na wenzangu 90s ajabu jioni tu tulifika tumetafuta chakula mjini pote hatukupata.
Nilishangaa sana.
Kuna msamaria alitupeleka NBC club nafkiri ndo kupata ugali nyamachoma mbayaaa na bei balaa.
 
Nilipita hapo na wenzangu,ajabu jioni tu tulifika tumetafuta chakula mjini pote hatukupata.
Nilishangaa sana.
Kuna msamaria alitupeleka NBC club nafkiri ndo kupata ugali nyamachoma mbayaaa na bei balaa.
Kuna binti kule Clouds 360, anaitwa Kija Yunusu, amajitaidi kuipaisha Lindi kila anapopata nafasi. Hongera zake
 
Watu wa huko simiyu sijui gambosi,watu wa huko kazula mimba,watu wa huko sumbawanga, wajita wa huko Tarime,watu wa huko misenyi kanyigo na watu wa huko Ngara tutawaweka kwenye kipengele gani maana huko kuna ulozi sii kawaida.
Tarime kuna ulozi gani?
 
Back
Top Bottom