Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Shoo inaanza karibia 70% ya mkoa ni mapori.. mji umejaa umwinyi sana na kurogana.. kiufupi wakazi hasa Lindi mjini ni watu wa ndumba sana.
Shoo inaanza karibia 70% ya mkoa ni mapori..mji umejaa umwinyi sana na kurogana..kiufupi wakazi hasa lindi mjini ni watu wa ndumba sana.
Hili hupelekea vijana wengi kuukimbia huu mkoa na kwenda dsm kusaka maisha na hawarudi kuwekeza kwao.
Asilimia kubwa ya watu walindi sio wasomi yani hawana elimu dunia bali elimu akhera hili nalo tatizo.
Licha ya kuwa na ardhi nzuri na rasilmali nyingi bado miundombinu hususani barabara hazifiki maeneo mengi hasa vijijini..maji safi tatizo umeme nao tatizo.
Wajanja wanapata hela sana lindi kwa maana ya mazao kama ufuta,korosho,mbaazi n.k.
Karibu sana lindi ruangwa.
#MaendeleoHayanaChama
Ebu tupia picha ya lindi mjini tupaone
Hapo ndio town kati.. Lindi kumepoa sana asee.. Kama mpambanaji bora ukaishi Masasi kuliko Lindi.
Tatizo sio promotion wala sio sababu nyingine, hapo chanzo ni idadi ndogo ya wakazi, Lindi imezungukwa na miji iliyowekezwa zaidi kuliko yenyewe, Lindi iko karibu na Dar es Salaam, pia karibu na Mtwara miji ambayo ina uwekezaji mkubwa, hiyo inafanya vijana wa Lindi kuhamia huko, sio kwasababu Lindi hapafai, la hasha, ni kwasababu za kiushindani kuwa miji mingine ina mvuto zaidi watu kuhamia.Shoo inaanza karibia 70% ya mkoa ni mapori..mji umejaa umwinyi sana na kurogana..kiufupi wakazi hasa lindi mjini ni watu wa ndumba sana.
Hili hupelekea vijana wengi kuukimbia huu mkoa na kwenda dsm kusaka maisha na hawarudi kuwekeza kwao.
Asilimia kubwa ya watu walindi sio wasomi yani hawana elimu dunia bali elimu akhera hili nalo tatizo.
Licha ya kuwa na ardhi nzuri na rasilmali nyingi bado miundombinu hususani barabara hazifiki maeneo mengi hasa vijijini..maji safi tatizo umeme nao tatizo.
Wajanja wanapata hela sana lindi kwa maana ya mazao kama ufuta,korosho,mbaazi n.k.
Karibu sana lindi ruangwa.
#MaendeleoHayanaChama
Hebu acha kuropoka, hiyo laana katoa babu yakoNimekaa Lindi 1988, ni mji ulio,imika kama lindi la choo, huu mkoa ulikataliwa ktk ulimwengu wa roho. Ardhi yake ina laana.
Inategemea na mishe zako.Hapo ndio town kati..lindi kumepoa sana asee..kama mpambanaji bora ukaishi masasi kuliko lindi.
#MaendeleoHayanaChama
Mji wowote usipokuwa na watu wachapakazi + mzunguko wa pesa lazima kuwe unpopular
Tatizo sio promotion wala sio sababu nyengine, hapo chanzo ni idadi ndogo ya wakazi, Lindi imezungukwa na miji iliyowekezwa zaidi kuliko yenyewe, Lindi iko karibu na Dar es Salaam, pia karibu na Mtwara miji ambayo ina uwekezaji mkubwa, hiyo inafanya vijana wa Lindi kuhamia huko, sio kwasababu Lindi hapafai, la hasha, ni kwasababu za kiushindani kuwa miji mingine ina mvuto zaidi watu kuhamia,
Hakuna mji unaokuwa kwa promotion hasa kwetu Afrika. Miji inakuwa kwasababu za kiasili kuwa ina uwekezaji mkubwa ndani yake.
Dar ni obvious ina uwekezaji toka zamani, Mtwara inatiliwa mkazo na serikali, ndio maana inakuwa kuliko Lindi,
Kwa miaka hii Lindi ilikuwa inaitwa PARIS ya kusini.Nimekaa Lindi 1988, ni mji ulio,imika kama lindi la choo, huu mkoa ulikataliwa ktk ulimwengu wa roho. Ardhi yake ina laana.
Kwani Dodoma kuna uwekezaji?Mbona moro uko katikati ya dodoma na dar lakini uko vizuri
Sure!Tuwe wawazi tu tatizo ni umwinyi na uchawi hapo Lindi. Sehemu yeyote ambako uchawi umetamalaki hainaga maendeleo.
Watu hawavutiwi kuja sababu mji hauna hamasa za kiuwekezaji.Asilimia kubwa ya wana Lindi wana kipato cha hand to mouth. Sasa nani atapeleka hela huko?