GRANITE II
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 540
- 965
Veta ipo Lindi mjini ukiwa,lakini pia Veta ya maana imejengwa eneo la nandagala wilayani Ruangwa....Ila watu mna dharau, hadi VETA 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Veta ipo Lindi mjini ukiwa,lakini pia Veta ya maana imejengwa eneo la nandagala wilayani Ruangwa....Ila watu mna dharau, hadi VETA 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Hio ya kuridhika na kidogo nakubaliana na wewe mkuu,kijana anaweza akajenga kibanda cha kujiegesha afu akaona amemaliza na hapo hutaweza mwambia jambo lolote akakuelewaMradi wa LNG unaweza kuwa game changer.
Watu wengi wa Pwani sio watu wakuminyana na maisha, huridhika na kidogo ndio maana wakaitwa mamwinyi. Lindi bado asili yake ina watu wa Pwani wengi na waumini wa dini ya kiislam ambao kwa kiasi kikubwa wamewekeza kwenye dini kuliko maisha ya dunia.
Nadhan hayo unayosema mawe,ni Gypsum na utakua umeyaona maeneo ya mtandi au kiranje ranje and yes ni ingredient muhimu sana kwa ajili ya cement pamoja na mbolea...FEEDBACK!!…
NIMESAFIRI KUFIKA LINDI LEO KUJIRIDHISHA NA UTETEZI WA BAADHI YA VIJANA
1.Lindi Bado ni Mkoa ambao upo nyuma sana kuliko mikoa yote niliyowai kuitembelea na yote ambayo nimewai itembelea
Kifupi bagamoyo pameendelea na kuchangamka kuliko Lindi!!
2.Ina idadi ndogo sana ya watu hivo kufanya iwe sehemu iliyopoa zaidi Tanzania
3.Stand yake n ndogo sana kuliko stand ya Usagara Ya Mwanza misungwi, Tabora mjini,
Kifupi haikaribiani hata nusu ya stand hizi kama ya shinyanga,Mtwara,Mbinga Ruvuma,singida ,
Sijui hata budjet yao ya kujenga na kupanua stand walipeleka wap!!
4.Sehemu kubwa ya Lindi ni mapori makubwa sana (Nashangaa hizi vita za wafugaji na wakulima kanda ya ziwa kwann wasiwahamishie huku wafugaji![]()
5.Sehemu za starehe huku msiba!! (hakuna )
6.Hakuna muingiliano mkubwa wa watu huku
7.Vyuo ndo hivo tena nisiseme mengi
8.Ingawa sijafika Kilwa lakini naona kuna dalili hizi hizi za Mkoa mama huu Lindi!! Nadhani kutakua na sifa hiii hii kubwa Mji wa zamani lakini wa mwisho kwa ukuaji
9.Kuna kiwanda cha cement nadhan n cha dangote ukipita barabarani wamejaza mawe
10.Uchimbaji chumvi upo kwa kiasi kikubwa nadhan ni sehemu ya kipato cha wakazi wa huku
Fursa!!
1.Kilimo na ufugaji-Kuna ardhi kubwa sana huku kwa ufugaji na kilimo!!..cha mazao kama minazi,korosho nk(Sijayafanyia utafiti)
2.Kulingana na uwepo wa Gesi maeneo haya basi ni vema serikali isihamishe gesi huku!! Ifue umeme ndiyo iuunganishe na grid ya taifa kwenda mikoa mingine atleast kutafufua uchumi wa eneo hili!!..
3.Kuanzisha huduma ya gesi majumbani ya mfumo wa kuunganishiwa kama maji
Hii project ingeanzia huku ingeboresha maisha ya wakazi wa hapa pia ingefanya sehemu iwe pendwa kwa watanzania wengi hivo kukuza maendeleo
4.Kujenga vyuo Lukuki hasa huu mkoa!!!…
Uhitaji wa Elimu ya juu bado mkubwa kwa tanzania ,,,,Hivo kuongeza miundo mbinu hii ya vyuo vya elimu ya juu hapa kungeleta uchangamfu wa mji na maendeleo kwa ujumla kadiri watu wanavoongezeka!!
Hapa n kwa sekta binafsi na sekta za umma vyuo n vyuo bana
5.Kuna fursa kubwa sana ya utaliii hasa ukizingatia almost nusu ya mkoa umepakana na bahari, utalii wa fukwe,milima nk na wamajengo ya zamani pia
6. Uvuvi
Kutengeneza mazingira ya kuwezesha uvuvi wa kisasa maeneo haya wa kutumia meli za kisasa pamoja na miundo mbinu na viwanda vya kuchakata samaki
7,8,
Vingine mnaweza kuongezea
Mkuu hio ni gypsum ni kweli ni viwanda madini...na n ingredient muhimu sana kwenye cement na eneo yalipo hayo mawe ni mtandi na kiranjeranje....Graphite au wenyeji huita Bunyu ipo sana kwenye wilaya za Nachingwea na Ruangwa na kuna mgodi mkubwa sana wa Graphite unajengwa (Lindi Jumbo Graphite Mine) maeneo ya matambarale kata ya Chunyu wilaya ya RuangwaHayo mawe uliyoyaona barabarani ni graphite wanaita madini ya viwandani yanapatikana sana huko.
Kuhusu kiwanda cha dangote kipo Mtwara kablaa ya kufika mikindani ukiwa waelekea Mtwara.
Hongera kwa utomaso nadhani umejionea.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Asante kwa taarifa..lindi ina fursa sema bado hazivamiwa sana na wajanja.Nadhan hayo unayosema mawe,ni Gypsum na utakua umeyaona maeneo ya mtandi au kiranje ranje and yes ni ingredient muhimu sana kwa ajili ya cement pamoja na mbolea...
Mkuu hio ni gypsum ni kweli ni viwanda madini...na n ingredient muhimu sana kwenye cement na eneo yalipo hayo mawe ni mtandi na kiranjeranje....Graphite au wenyeji huita Bunyu ipo sana kwenye wilaya za Nachingwea na Ruangwa na kuna mgodi mkubwa sana wa Graphite unajengwa (Lindi Jumbo Graphite Mine) maeneo ya matambarale kata ya Chunyu wilaya ya Ruangwa
KabisaAsante kwa taarifa..lindi ina fursa sema bado hazivamiwa sana na wajanja.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
[emoji1787] usipanicHebu acha kuropoka, hiyo laana katoa babu yako
Ni kweli ,zamani ilikuwa inaitwa hivyommh sidhani
Yes kweli kabisaWachangiaji wengi mpo sahihi Lindi inarudishwa nyuma na uvivu umwinyi ushirikina majungu na unafiki bila kusahau umbea.
Lindi ni sehemu Pekee Tanzania ukianzisha biashara na ukauza bidhaa au huduma kwa Bei nafuu Basi wenyeji watakutafuta ata usiku wa manane upandishe bei uuze Kama wao, na usipopandisha utakumbana na ushirikina majungu na unafiki hujawahi ona.
Biashara zinazofanikiwa Lindi ni za mazao Kama korosho na ufuta au uchimbaji wa madini ambazo soko lake sio Lindi kule vinazalishwa tuu na kusafirishwa mbali
Kifupi ni ngumu saana kufanya biashara au kuishi na familia Lindi hakuna jema Lindi
Vipo , veta na court cHivi Lindi hakuna vyuo??
We unawajua wa pwani unwasikia? Huko hata korosho wazawa hawafanikiw nazoHuo mkoa tungeishi watu kama sisi, ningepasuka kwa pesa, maana ufuta na mbaazi ni mazao ya pesa
UCHAWI tu. Wamakonde sio watu hata kidogoNilipita hapo mwaka juzi. Ki jiographia panavutia ila kiuchumi panaonekana kudorora sana.
Shida ni wakazi wenyewe, uvivu+shirikina+diniKuna miji ina location nzuri inayofanya miji hiyo ikue bila kutumia nguvu, miji kama Morogoro, yaani yenyewe naturally tu inakuwa mikubwa hata kama hakuna uwekezaji wa makusudi. Lindi ishu kubwa ni location ilipo, idadi ndogo ya wakazi hayo mambo yanafanya wawekezaji wasishawishike sana kwenda.
Mkoa fulani wa kisenge Sana ushirikina huko ni nyumbani kwa
We marxist tupishe acha theory zako sijui materialist sijui global, social forces. Huko LINDI wanga ndo ulipolaliaMikoa kama hii kupoa kunachangiwa sana na serikali, ukiangalia majengo hayo ya miaka 1950 kurudi nyuma utajua kabisa huo mji ulikuwa na mishe za kutosha kwa wakati huo. Fikiria miaka hiyo hiyo miji mingine ilikuwaje kama sio mapori na vijiji vidogovidogo.
Tunasingizia umwinyi, sijui elimu akhera au uchawi lakini hii si kweli, unafikiri ingekuwaje miji hiyo ingeendelea kupewa kipaumbele kwa miundombinu na uwekezaji? Kwani Dar ilijengwa na watu tu au serikali ilianza kuijenga? Unafikiri Dar es Salaam na Bagamoyo ni mji upi ilianza kuchangamka? Leo hii hali ikoje?
Nitolee mfano mji ninaoufahamu Kigoma: Kipindi cha German East Africa ulikuwa ni mji mkubwa sana kwasababu Wajerumani waliwekeza station kubwa ya train (lilikuwa jengo kubwa kuliko station yoyote ya train Tanganyika) kwasababu waliutegemea mji huo kama kiungo na Congo, Burundi na Zambia na walikuwa na meli kubwa sana hapo S.S. Liemba, unafikiri kwa wakati huo kati ya Kigoma na Mwanza upi ulikuwa mji mkubwa? Sababu ni nini? Uwekezaji wa Mjerumani ulifanya mji uchangamke na watu walitoka sehemu mbalimbali kuja kujipatia riziki hapo.
Leo hii bandari ya Kigoma imedorola baada ya kutokupewa umuhimu na serikali, bandari inategemea reli na barabara kufikisha mizigo kutoka Dar port kwenda Zambia, Burundi na Congo. Lakini hadi leo hii barabara ya kuiunganisha Kigoma haijakamilika na reli inasuasua sana sababu haina ubora na cha ajabu zaidi reli hiyo ya kati inayojengwa sasa ya SGR ikapewa kipaumbele ya Dar - Mwanza tofauti na Dar - Kigoma! Hapo bado unatarajia mji ukue kwa juhudi za wananchi?!
Miji ya Congo kama Kalemie, Bukavu na Uvira wanategemea sana Tanzania kwa kila kitu kama chakula, mafuta, hardware n.k. Kama Kigoma ingekuwa na miundombinu mizuri kungekuwa na Viwanda vya kutosha kuilisha East Congo na mji ungetoa ajira za kutosha, bandari ingechangamka lakini kinyume chake hata umeme tu Kigoma wanatumia umeme wa generator! Alafu tunawalaumu waswahili wa ujiji na waarabu!
Hii kauli ya miji ya waswahili, mbona hatuisikii kwa Dar ya Wazaramo? Si waswahili wale? lakini mji wao kila mtu anataka kuwekeza huko. Hatakama wakazi wa mji husika ni waswahili lakini kukiwa na vyanzo vya michakato watakuja wageni kuwekeza na mji utachangamka.
Lindi nyerere aliwapelekea reli waliliroga mpaka treni likazima. Eti Kuna wazee wapewe kias kadhaa ndo treni liende. Wakazing'oa reli zenyewe 🤣Kweli mambo ya msingi yanayoweza kuipa miji hadhi hayafanyiki:
Mfano Miji mingi tuliyonayo mipango miji(master plan) sio kipaumbele hata kupanda miti tu tunashindwa kupanda, kuongeza barabara za lami zinazounganisha Wilaya katika Mikoa husika ni mipango ambayo haizungumzwi(Kama nchi imefunguliwa kibiashara,inatakiwa iende sambamba na kufungulia barabara kwa kuwekewa lami).
Mkuu kwa uchawi wa Lindi majibu kule arudi mkoloni tu. Atapaweza sababu atawanyoosha Kwa nguvuFEEDBACK!!…
NIMESAFIRI KUFIKA LINDI LEO KUJIRIDHISHA NA UTETEZI WA BAADHI YA VIJANA
1.Lindi Bado ni Mkoa ambao upo nyuma sana kuliko mikoa yote niliyowai kuitembelea na yote ambayo nimewai itembelea
Kifupi bagamoyo pameendelea na kuchangamka kuliko Lindi!!
2.Ina idadi ndogo sana ya watu hivo kufanya iwe sehemu iliyopoa zaidi Tanzania
3.Stand yake n ndogo sana kuliko stand ya Usagara Ya Mwanza misungwi, Tabora mjini,
Kifupi haikaribiani hata nusu ya stand hizi kama ya shinyanga,Mtwara,Mbinga Ruvuma,singida ,
Sijui hata budjet yao ya kujenga na kupanua stand walipeleka wap!!
4.Sehemu kubwa ya Lindi ni mapori makubwa sana (Nashangaa hizi vita za wafugaji na wakulima kanda ya ziwa kwann wasiwahamishie huku wafugaji[emoji3]
5.Sehemu za starehe huku msiba!! (hakuna )
6.Hakuna muingiliano mkubwa wa watu huku
7.Vyuo ndo hivo tena nisiseme mengi
8.Ingawa sijafika Kilwa lakini naona kuna dalili hizi hizi za Mkoa mama huu Lindi!! Nadhani kutakua na sifa hiii hii kubwa Mji wa zamani lakini wa mwisho kwa ukuaji
9.Kuna kiwanda cha cement nadhan n cha dangote ukipita barabarani wamejaza mawe
10.Uchimbaji chumvi upo kwa kiasi kikubwa nadhan ni sehemu ya kipato cha wakazi wa huku
Fursa!!
1.Kilimo na ufugaji-Kuna ardhi kubwa sana huku kwa ufugaji na kilimo!!..cha mazao kama minazi,korosho nk(Sijayafanyia utafiti)
2.Kulingana na uwepo wa Gesi maeneo haya basi ni vema serikali isihamishe gesi huku!! Ifue umeme ndiyo iuunganishe na grid ya taifa kwenda mikoa mingine atleast kutafufua uchumi wa eneo hili!!..
3.Kuanzisha huduma ya gesi majumbani ya mfumo wa kuunganishiwa kama maji
Hii project ingeanzia huku ingeboresha maisha ya wakazi wa hapa pia ingefanya sehemu iwe pendwa kwa watanzania wengi hivo kukuza maendeleo
4.Kujenga vyuo Lukuki hasa huu mkoa!!!…
Uhitaji wa Elimu ya juu bado mkubwa kwa tanzania ,,,,Hivo kuongeza miundo mbinu hii ya vyuo vya elimu ya juu hapa kungeleta uchangamfu wa mji na maendeleo kwa ujumla kadiri watu wanavoongezeka!!
Hapa n kwa sekta binafsi na sekta za umma vyuo n vyuo bana
5.Kuna fursa kubwa sana ya utaliii hasa ukizingatia almost nusu ya mkoa umepakana na bahari, utalii wa fukwe,milima nk na wamajengo ya zamani pia
6. Uvuvi
Kutengeneza mazingira ya kuwezesha uvuvi wa kisasa maeneo haya wa kutumia meli za kisasa pamoja na miundo mbinu na viwanda vya kuchakata samaki
7,8,
Vingine mnaweza kuongezea
Yaah..ile reli ya kutoka mtwara kwenda nachingwea kwenye groundnuts plantation.Lindi nyerere aliwapelekea reli waliliroga mpaka treni likazima. Eti Kuna wazee wapewe kias kadhaa ndo treni liende. Wakazing'oa reli zenyewe [emoji1787]