Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Hio ya kuridhika na kidogo nakubaliana na wewe mkuu,kijana anaweza akajenga kibanda cha kujiegesha afu akaona amemaliza na hapo hutaweza mwambia jambo lolote akakuelewa
 
Nadhan hayo unayosema mawe,ni Gypsum na utakua umeyaona maeneo ya mtandi au kiranje ranje and yes ni ingredient muhimu sana kwa ajili ya cement pamoja na mbolea...
Mkuu hio ni gypsum ni kweli ni viwanda madini...na n ingredient muhimu sana kwenye cement na eneo yalipo hayo mawe ni mtandi na kiranjeranje....Graphite au wenyeji huita Bunyu ipo sana kwenye wilaya za Nachingwea na Ruangwa na kuna mgodi mkubwa sana wa Graphite unajengwa (Lindi Jumbo Graphite Mine) maeneo ya matambarale kata ya Chunyu wilaya ya Ruangwa
 
Asante kwa taarifa..lindi ina fursa sema bado hazivamiwa sana na wajanja.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wachangiaji wengi mpo sahihi Lindi inarudishwa nyuma na uvivu umwinyi ushirikina majungu na unafiki bila kusahau umbea.

Lindi ni sehemu Pekee Tanzania ukianzisha biashara na ukauza bidhaa au huduma kwa Bei nafuu Basi wenyeji watakutafuta ata usiku wa manane upandishe bei uuze Kama wao, na usipopandisha utakumbana na ushirikina majungu na unafiki hujawahi ona.

Biashara zinazofanikiwa Lindi ni za mazao Kama korosho na ufuta au uchimbaji wa madini ambazo soko lake sio Lindi kule vinazalishwa tuu na kusafirishwa mbali

Kifupi ni ngumu saana kufanya biashara au kuishi na familia Lindi hakuna jema Lindi
 
Yes kweli kabisa
 
Shida ni wakazi wenyewe, uvivu+shirikina+dini

Mtu akishika haya mambo ipasavyo umasikini ni mahali pake
 
Mkoa fulani wa kisenge Sana ushirikina huko ni nyumbani kwa

We marxist tupishe acha theory zako sijui materialist sijui global, social forces. Huko LINDI wanga ndo ulipolalia
 
Lindi nyerere aliwapelekea reli waliliroga mpaka treni likazima. Eti Kuna wazee wapewe kias kadhaa ndo treni liende. Wakazing'oa reli zenyewe 🀣
 
Mkuu kwa uchawi wa Lindi majibu kule arudi mkoloni tu. Atapaweza sababu atawanyoosha Kwa nguvu
 
Reactions: apk
Lindi nyerere aliwapelekea reli waliliroga mpaka treni likazima. Eti Kuna wazee wapewe kias kadhaa ndo treni liende. Wakazing'oa reli zenyewe [emoji1787]
Yaah..ile reli ya kutoka mtwara kwenda nachingwea kwenye groundnuts plantation.

Vijamaa vina matatizo ya akili..

Naona wasukuma wameaza kuhamia huko kwa kasi na mifugo yao..myb kutaanza kuchangamka.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…