Mbona makasiriko mengi! Mkiongeza makasiriko nawakera zaidi, MMU

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Zamani JF ilikuwa ya watoto wa vibosile wako wanaishi US, UK na Europe ndio ilikuwa sehemu yao ya kupiga stori
Ungeleta hizi stori, hakuna angeshangaa ila siku hizi JF ni ya bodaboda, walugaluga wa mikoani, mawinga na kila aina ya mtanzania wa hali ya chini.....
Hili unalofanya kwao ni ndoto za maisha , lazima wakupopoe, halafu wanadhani unataka kuwatapeli, kuja na hii aina ya kujimwambafy....
sasa hata ukijiuliza uwatapeli nini watu wenyewe hawana mia mbovu, still wanaamini unataka kutawatapeli, na ndio maana wengi wale vilopolopo humu wanaogopa hata kuja kuchangia uzi.....
 
Nimekupata mkuu Mimi niko hapa tokea 2016 nikaja kujitafta Singapore aisee nikakutana na mmama mmoja japo alinilazimisha tumeage radhi ila namshukuru hata nafasi hii nisingepata maana alitumia juhudi sana
 
JF sio sehemu ya kuelezea personal life yako,kula maisha kivyako tu,humu tumo wabeba box wazoefu toka kitambo tu,ila huwezi kukuta tunaweka story ya maisha yetu ya huku tulipo,

Nafikiri tatizo linaanzia kwa mtu kuanza kuanika personal life yake humu.
 
Hakika umesema tunakula gambe na Uzuri tunashere kidogo

Kuna muda waliniprovoke
Kuwa nakula wazee si kidogo nianze kuweka photos Lakin nikajiuliza what is kuna wa Tanzania wako Singapore wanawajua hawa watu si ntakuwa nmechoma nikaamua kuwa mpole πŸ˜†
 
Embracing the idea that you alone are enough takes away the exhausting pressure of chasing external validation, allowing you to focus on living authentically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…