Wanauza dollar ngapi hapo Singapore? Huku Mlandizi tunapiga visungura tu.Napiga Jack Daniel’s
Nacomplicate kivipi? Huoni kua root cause ya mleta mada kulalamika respond ya wachangiaji ni kwa yeye kuanika personal life yake in public?
Chanzo cha yeye kushangaa ni nini kama sio yeye kuanika personal life yake in public?Hajalalamika ameshangaa...
Watu wanabisha vitu vidogo ambavyo ni vya kawaida sana.
$200 nikizama nayo kwa mchina nakua na kama 528,000/=.700 ml ni 200$
Hapana. Sababu ya mleta mada kulalamika ni kua na upeo mdogo au huenda ni kweli anatafuta validation. Alipaswa kujua kwamba kwenye hadhira ya watu wa kila aina lazima angepata responses zinazotofautiana.Nacomplicate kivipi? Huoni kua root cause ya mleta mada kulalamika respond ya wachangiaji ni kwa yeye kuanika personal life yake in public?
Watakuroga sasa hivi..Wee Jamaa bwana sasa unashani muda wote tutakaa sehemu moja tuko ndani now ! Haya ngoja Anyooshe View attachment 3622515
Bwashee wacha nitoke sasa 😂Wales au upo hapo mashati ,matako bar bwashee?
Hii ipo sana huku uswahilini,raha yao wakuone unateseka wao furaha.Ukitaka baadhi ya wabongo wakuone mwenzao,leta uzi kua umepigika,una maisha magumu,kila mtu atakuombea,kaza kijana,utatoka tu,usikate tamaa,hua wanapenda kuona mtu anateseka.
😀 😀
Tutajifunzaje jamaniJF sio sehemu ya kuelezea personal life yako,kula maisha kivyako tu,humu tumo wabeba box wazoefu toka kitambo tu,ila huwezi kukuta tunaweka story ya maisha yetu ya huku tulipo,
Nafikiri tatizo linaanzia kwa mtu kuanza kuanika personal life yake humu.
Take home ya mtu hiyo.$200 nikizama nayo kwa mchina nakua na kama 528,000/=.
Bongo nyoso sana!Take home ya mtu hiyo.