Mbona makasiriko mengi! Mkiongeza makasiriko nawakera zaidi, MMU

Mbona makasiriko mengi! Mkiongeza makasiriko nawakera zaidi, MMU

Hapa makasiriko ni mengi sana sijui Tatizo nini
1. Ni maisha magumu ?
2. ARVs
3. Mitaji kukosa
4. Kukimbiwa na mademu au Tatizo ninii?

Au njaaa ?

Mtu unakuwa idle Kidogo Unasema ngoja nifanye kutoa ka story fulan ni shee na wenzangu 😀

Hujamaliza hata story unasikia weka passport na muhuri tuone (Huyu naweza kumuelewa maana anataka kujua how the truth is, kuhusu story teller) unaweka passport huyo anasema Powa haina shida

Mwingine anaibuka hii story Nimeona Facebook Mwaka juzi Unasema aaaaa kumbe wakati huo hata hujamalizia mwendelezo unampa mtihani enhe itaishaje? Anaanza kujiuma uma , Unasema sawa nakupa 1000$ leta hiyo story weka hapa sitanii ilete kitoka huko facebook weka na Mpesa yako hapa hapa maana Sitaki mazoea, anaingia mitini hajwai rejea 😀😀

Sasa huko unawaonesha kwamba hutanii

Wamehamia kwenye kingereza kwamba kiingereza chako kibovu! Kwani Kingereza ndo kinatomb***? Haha alafu Mwingine anasema oo Jitahidi urekebishe kingereza! Najua baadhi wanatania ila kuna Ambao wanasema unaona huyu ni chuki tu, nawasanua sasa ambao mmefika china , Hongkong, Philippines , Dubai watanielewa hapa, ukiwa nchi hizi hata uwe unajua perfect English inabidi u change uendane nao kama anayeunga unga English ndo wataelewa! Ukileta perfectionism or fluent English unawaacha njiani, siwezi eleza zaidi ninyi walioko Maji matitu Mpaka muelewe itakuwa shida !

Mwingine akasema pisi unakula mbovu 😆dah Hatari sana aiseee Nile pisi mbovu wakati hapa ni kama Eden nachuma tu

Yaan huku hakuna pisi ambayo ukizama uvinza unakuta chumvi chumvi au harufu ya dagaa kama feri!

Huku akipanua hata miguu ile njia ya kuelekea straight of Hormuz yake haina fungus kama hao wa manzese joh,

Yaan nakwambia hakuna ramani za huko chini, vitu perfect 100%

Siwezi kula wazee wakati mpunga upo, wanaokula wazee ni wale wanaolelewa au wanaofanya kazi ya kuweka Majina mtandaoni kwamba ni wanaume wanaofanya shughuli ya kuridhisha mimama wanapewa 400$ per hour mi siyo hao!

Mpunga upo! Nguvu za kiume zipo! Na ego au Aura ninayo ya kutosha nini? 😆

Alafu anayekosoa sasa account yake haina hata hela ya kumaliza week au hajui kesho yake atakula nini,

Mkinikera zaidi ntaweka na picha onhooooo
weka mkuu. hii ndiyo tanganyika. karibu sana.😆
 
venchwa İli uwahakikishie kama upo na hilo zigo, liambie linyoshe mkono ulipige picha ya chapuchapu
Wee Jamaa bwana sasa unashani muda wote tutakaa sehemu moja tuko ndani now ! Haya ngoja Anyooshe
2cb603e0-0ffc-45d2-8f03-a3378d513b37.jpeg
 
Back
Top Bottom