Mbona Mbowe yuko kimya, ni kawaida yake?

Mbowe ana dalili zote za mtu anayeelekea kustaafu, ikimpendeza anaweza kufanya hivyo early December this year, before his plan 2023.
Niliwahi leta uzi humu nikashauri huyu bwana astaafu apishe wengine.(Na kuna nyuzi nyingi tu humu watu wameshauri)
Nilishambuliwa kisa ninayetoa ushauri ni CCM.
ILA yote kwa yote tukumbuke MCHOVYA ASALI...........
 
Kulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake.

Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?

Inaelekea wewe mtoa mada una taarifa zaidi, hebutuambie ni nani kamlambisha asali? Je atachonga mzinga au atakuwa anategemea asali toka mzinga wa jirani?
 
Kulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake.

Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?
Mlitaka wasiwepo Serikalini kwa sababu walichelewesha maendeleo sasa wako kimya mnasema wameshalamba asali,ninyi viumbe hamjui maana ya Demokrasia,mliwaengua kwa makusudi,mkapora wabunge 19 kwa nguvu kwa jina la wabunge wa chadema ambao watalindwa na spika,serikali na mahakama kwa namna yoyote ile hata kwa damu mpaka 2025,kwani shida yenu ni vita au kukiua chama cha Chadema.
 
Kiongozi makini huwa haongeiongei hovyo, Rais Nyerere alijipatia sifa ya kutokuwa muongeaji wa kila siku kama kondakta wa daladala, siku ikitangazwa ataongea kesho saa mbili usiku, watu hawatoki majumbani wanakuwa karibu na redio zao kusikiliza nini kimemuudhi.
 
Kulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake.

Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?

Acha unafiki wewe. Wakati Mbowe anaanzisha UKUTA kipindi Cha Magufuli ulikuwepo?.

Wakati anavunjiwa bilcanas na shama lake kule hai mbona hukuongea?.

Wakati anafungiwa akaunti zake na kufungiwa gazeti la Tanzania daima mbona hukuongea Wala kulaani? Juzi hapa alipewa kesi ya ugaidi mkafurahia leo unamuilizia wa Nini?.

Mtu yeyote wa CCM anayemuulizia Mbowe leo ni mnafiki. Na wewe mtoa mada punguza unafiki.
 
Ujinga tu na upumbavu vinawasumbua.
 
Back
Top Bottom