jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Chadema ishauzwa tena teyari keshafika bei kama kipindi kile cha kumpokea mamvi meupe.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama kweli hatutegemei mtu kama Mbowe kukubali!Kwa hiyo unakiri ni kweli chama chako cha CCM kinahonga wapinzani ili wasikikosoe?
GoodMbowe hakuwahi kuwa mropokaji hata siku moja
Niliwahi leta uzi humu nikashauri huyu bwana astaafu apishe wengine.(Na kuna nyuzi nyingi tu humu watu wameshauri)Mbowe ana dalili zote za mtu anayeelekea kustaafu, ikimpendeza anaweza kufanya hivyo early December this year, before his plan 2023.
Propaganda za UVCCM hizo.Mbowe amesharamba asali tayari
Kulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake.
Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?
Yaani hawa UVCCM ni mazuzu wa kutupwa.Kwa hiyo unakiri ni kweli chama chako cha CCM kinahonga wapinzani ili wasikikosoe?
Mlitaka wasiwepo Serikalini kwa sababu walichelewesha maendeleo sasa wako kimya mnasema wameshalamba asali,ninyi viumbe hamjui maana ya Demokrasia,mliwaengua kwa makusudi,mkapora wabunge 19 kwa nguvu kwa jina la wabunge wa chadema ambao watalindwa na spika,serikali na mahakama kwa namna yoyote ile hata kwa damu mpaka 2025,kwani shida yenu ni vita au kukiua chama cha Chadema.Kulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake.
Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?
Mliyapenda wenyewe,mliyataka wenyewe,wacha tuisome namba mpaka 2025 kama mwasisi wenu mwovu alivyotaka.Nchi haiwezi kuwa kimya hivi. Tunaweza jikuta tumeuzwa wootee.
HAKIKA.Akiongea shida akinyamaza shida.
Tulizeni vijambio mlee familia zenu.
Kulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake.
Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?
😂😂😂😂Yuko likizo anapiga mbege kwa machalari. .
Ujinga tu na upumbavu vinawasumbua.Acha unafiki wewe. Wakati Mbowe anaanzisha UKUTA kipindi Cha Magufuli ulikuwepo?.
Wakati anavunjiwa bilcanas na shama lake kule hai mbona hukuongea?.
Wakati anafungiwa akaunti zake na kufungiwa gazeti la Tanzania daima mbona hukuongea Wala kulaani? Juzi hapa alipewa kesi ya ugaidi mkafurahia leo unamuilizia wa Nini?.
Mtu yeyote wa CCM anayemuulizia Mbowe leo ni mnafiki. Na wewe mtoa mada punguza unafiki.
Kwahiyo na wewe unakiri hamna wapinzani Tanzania hii kama wanakubali kuhongwa kirahisi namna hio.Kwa hiyo unakiri ni kweli chama chako cha CCM kinahonga wapinzani ili wasikikosoe?
Upinzani bila wabunge siyo upinzani.Kwahiyo na wewe unakiri hamna wapinzani Tanzania hii kama wanakubali kuhongwa kirahisi namna hio.