Mbona Mzee wa Komesho(AY) hakumualika Crazy GK kwenye harusi yake?

Mbona Mzee wa Komesho(AY) hakumualika Crazy GK kwenye harusi yake?

b2ba658e148c8e7aa218cc0ff1563c29.jpg
9b74143746d87a439418ee7c9dedd5e4.jpg
b46a6aab74881589d707e77620e3845d.jpg
e01f104d78e08865ed6feb36be0df66d.jpg
 
Mzuqa SIZONJE's slaves!

Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga.


Harusi ya AY iliyofanyika Golden Tulip


Alikuwepo sema alivaa kisela kuna picha nimeiona wamepiga pamoja Gk,salamaJ,Prof J
 
GK anapiga kitabu hatar nyie endeleen na stori zenu soon mtasikia yuko University as Le'r. Picha hapo juu ni wakat anatunukiwa Masters Mzumbe Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Daaslam
 
Hebu mfano, angalieni suruali ya FA huko chini, as if alikuwa ameibana na rubber band ili mzingo usishuke. Kweli hiyo ndio hadhi ya Suti inavyotakiwa kuwa?
Watu walikuwa wanatafuta sababu ya Rais kutotaka kusafiri nje, hivi mnakumbuka suti zake alizokuwa anavaa hasa kipindi baada ya kuapishwa? Hivi mnategemea angeenda na zile "nyanya puzo" zake nchi za watu huko?
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom