Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ECT was something extraordinary."Twista style" is what made them to be identified soon, japo Snare ndio aliipatia sana, ukiongezea na writting style, then combinenga hiyo ndio ilifanya ECT iwe hotest kipindi kile.
Anasoma wapi na anasomea nini mkuu?Gk anasoma kwa sasa.
HahahhLabda Bange pia angeenda kavaa kofia
Ndio mkuu mbona katupia vizuri mkuuMkuu you're seriously jamaa
Ndo alikua hvo au n editing
Hii Id yako huwa namwitaga rafiki angu flani hapa kitaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pambana na hali yako kaka,utaweza kuyajua ya kila mtu hapa mjini
Mzuqa SIZONJE's slaves!
Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga.
Harusi ya AY iliyofanyika Golden Tulip
Muongo mkubwa we!Mzuqa SIZONJE's slaves!
Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga.
Harusi ya AY iliyofanyika Golden Tulip
Gwamaka KaihulaKirefu cha GK ni nini??
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Hebu mfano, angalieni suruali ya FA huko chini, as if alikuwa ameibana na rubber band ili mzingo usishuke. Kweli hiyo ndio hadhi ya Suti inavyotakiwa kuwa?
Watu walikuwa wanatafuta sababu ya Rais kutotaka kusafiri nje, hivi mnakumbuka suti zake alizokuwa anavaa hasa kipindi baada ya kuapishwa? Hivi mnategemea angeenda na zile "nyanya puzo" zake nchi za watu huko?
Mzuqa SIZONJE's slaves!
Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga.
Harusi ya AY iliyofanyika Golden Tulip