Mbona nyie ambao hamnywi mnamaisha magumu kama sisi tunaogida kila siku?

Mbona nyie ambao hamnywi mnamaisha magumu kama sisi tunaogida kila siku?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Nilidhani magumu tunayo sisi ambao tunakunywa pombe na kuchoma nyama.

Unachukua kinywaji kikali unafanya ukemia alafu maisha yanaendelea.

Nashangaa na nyie msiokunywa watumishi wenzangu wa serikali baad ya wiki tu mshahara kutoka mnakua hoi bin taaban.
 
Their just bunch ya Ufwala jutu likiwa fala kwenye ubora huwa linajikuta Kerubi

Njaa ndio inaamua uozo wao
 
kuna utofauti mkubwa


pia hataumri ukienda mnywa pombe bado ataendelea kupotezapesa tofaut na asiye kunywa akizeeka zeeka hela itawa ina kaa.
 
Back
Top Bottom