Mbona nyuzi hizi zilikuwa hazifutwi na tunasema kabisa Jamaa atakufa 2021?

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Huu Uzi niliuandika nikiwa Corridor za Kremlin kuna jambo tulikuwa tunajadili na diplomat fulan

Mkuu Brita mimi nilijua unawajua hadi JF moderators na utendaji kazi wao. Hii kwa mawazo yako unadhani inatupa picha gani? Kwamba Yule waliwaunga mkono?
 
Huu Uzi niliuandika nikiwa Corridor za Kremlin kuna jambo tulikuwa tunajadili na diplomat fulan

Kuna Uzi uneusia mtu atakufa ila umefutwa?
 
Huu Uzi niliuandika nikiwa Corridor za Kremlin kuna jambo tulikuwa tunajadili na diplomat fulan

Leta humu tutasoma kama comment kaka.
Hata usiwaze
 
Back
Top Bottom