Mbona Professor Jay hakupewa Uwaziri?

Mbona Professor Jay hakupewa Uwaziri?

Mwana fa ni mbunge wa chama tawala ccm.

Proff jay alikuwa mbunge wa chama cha upinzani chadema.

Chama cha upinzani huwa hakiundi serikali hivyo hakitoi fursa kwa wabunge wake kuwa mawaziri
Jibu safi. Uzi ufungwe.
 
Hivi proj jizee anaendeleaje sku hizi dizain kama kasahaulika hivi na watu.. hata wasanii wenzie wana harakati kitambo hatuoni wakisema chochote juu yake
 
Hizi nafasi za Uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata kama zali? Mbunge wa zamani Jimbo la Mikumi na Msanii mkongwe wa Hip-Hop Joseph Haule (professor Jay), alihudumia Bunge kwa miaka mitano ila hakupewa hata Uwaziri.

Kama sifa walizotumia kumpa Uwaziri Mwana FA mbona Professor Jay alikuwa nazo?

View attachment 2559874
We unazijua hizo sifa?!!!!
 
Nadhan mleta mada anamanisha waziri kivuli. .
Itakuwa anamaanisha waziri kivuli! Sidhani kama tangu mfumo wa vyama vingi urudi Tanzania kuna waziri alitoka upinzani na akaendelea kuwa mwanachama wa upinzani.

Kipindi cha jiwe inasemekana hadi Prof J alipelekewa dau la kununuliwa ila alikataa. Labda kama angenunuliwa angepewa uwaziri!
 
Ndo kwanza alivunjiwa nyumba yake na kipindi cha rais magu,kile kilikuwa kipindi kibaya sana kwa baadhi ya wa2
 
Hizi nafasi za Uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata kama zali? Mbunge wa zamani Jimbo la Mikumi na Msanii mkongwe wa Hip-Hop Joseph Haule (professor Jay), alihudumia Bunge kwa miaka mitano ila hakupewa hata Uwaziri.

Kama sifa walizotumia kumpa Uwaziri Mwana FA mbona Professor Jay alikuwa nazo?

View attachment 2559874
Ukipewa uwazili shart la kwanza usimamie na kutekeleza iran ya chama ambacho kipo madarakani,
 
Kwanza ni zama tofuati ile ni zama ya jiwe na hii ni ya Mother.

Kingine alikuwa upinzani kama unavyojua nchi yetu ilivyo maana hata Tundu lissu angeshakuwa waziri kitambo kwa upeo wake mkubwa haswa waziri wa mambo ya nje au katiba
 
Back
Top Bottom