Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu safi. Uzi ufungwe.Mwana fa ni mbunge wa chama tawala ccm.
Proff jay alikuwa mbunge wa chama cha upinzani chadema.
Chama cha upinzani huwa hakiundi serikali hivyo hakitoi fursa kwa wabunge wake kuwa mawaziri
Mjinga hawezi kuelewa hapo... FA katengeneza backup kubwa sana nyuma yakeJay hakuwa na watu kama Salaah nyuma yake
We unazijua hizo sifa?!!!!Hizi nafasi za Uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata kama zali? Mbunge wa zamani Jimbo la Mikumi na Msanii mkongwe wa Hip-Hop Joseph Haule (professor Jay), alihudumia Bunge kwa miaka mitano ila hakupewa hata Uwaziri.
Kama sifa walizotumia kumpa Uwaziri Mwana FA mbona Professor Jay alikuwa nazo?
View attachment 2559874
Itakuwa anamaanisha waziri kivuli! Sidhani kama tangu mfumo wa vyama vingi urudi Tanzania kuna waziri alitoka upinzani na akaendelea kuwa mwanachama wa upinzani.Nadhan mleta mada anamanisha waziri kivuli. .
Jobless Lema aliwahi Waziri Kivuli alikua anaongea pumba kuliko sasaNadhan mleta mada anamanisha waziri kivuli. .
Kuna haja ya kumpa yeyote jina la 'mjinga'?Mjinga hawezi kuelewa hapo... FA katengeneza backup kubwa sana nyuma yake
Ukipewa uwazili shart la kwanza usimamie na kutekeleza iran ya chama ambacho kipo madarakani,Hizi nafasi za Uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata kama zali? Mbunge wa zamani Jimbo la Mikumi na Msanii mkongwe wa Hip-Hop Joseph Haule (professor Jay), alihudumia Bunge kwa miaka mitano ila hakupewa hata Uwaziri.
Kama sifa walizotumia kumpa Uwaziri Mwana FA mbona Professor Jay alikuwa nazo?
View attachment 2559874
Jiwe gizaniKuna haja ya kumpa yeyote jina la 'mjinga'?