LGE2024 Mbona Rais Samia hajakipongeza chama chake kwa ushindi wa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27/11/2024?

Mpaka jana tarehe 29/11/2024, mtandaoni anasomeka, ila tunasoma habari zinazohusu mambo mengine lakini sio kukipongeza chama chake kwa ushindi wa kihistoria!!Ajabu!

Yaani alipongeza Taifa Stars kwa ushindi halafu chama chake kakipotezea!

Ajiuzulu.
 
Mtandaoni yumo, ila kwenye akaunti yake, tuasoma habari zinazohusu mambo mengine lakini sio kukipongeza chama chake kwa ushindi wa kihistoria!!

Yaani alipongeza Taifa Stars kwa ushindi halafu chama chake kakipotezea!!

Hahaaaaaa!!!!!!!
Naona nyumbu umechangangikiwa, vp mbowe ameandika huko kuhusu kupoteza kwake au unamfuatilia zaidi SSH kuliko yeye?!!! Back tu yua kwesheni; Wana utaratibu wao na wakishamaliza watapongezana.......we hudhuria kwanza vikao vya mbowe na lissu labda watatangaza maandamano huko uandamane😄😄😄
 
Aiseeee!!!
 
Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27/11/2024?

Mpaka jana tarehe 29/11/2024, mtandaoni anasomeka, ila tunasoma habari zinazohusu mambo mengine lakini sio kukipongeza chama chake kwa ushindi wa kihistoria!!Ajabu!

Yaani alipongeza Taifa Stars kwa ushindi halafu chama chake kakipotezea!

Ajiuzulu.
Ushindi wa zuga fala kwa jamu?
 
Yeye mwenyewe anajua kilichofanyika
 
...ntarudi....
😷😷😷😷😷

Sitaki sema chochote mambo ya hovyooo kwa sasaa..
 
Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27/11/2024?

Mpaka jana tarehe 29/11/2024, mtandaoni anasomeka, ila tunasoma habari zinazohusu mambo mengine lakini sio kukipongeza chama chake kwa ushindi wa kihistoria!!Ajabu!

Yaani alipongeza Taifa Stars kwa ushindi halafu chama chake kakipotezea!

Ajiuzulu.
Kama ana Akili TIMAMU kweli hawezi kusifu upuuzi huu wa uchaguzi uliojaa mavi matupu.
 
Alishapewa tuzo kitambo sana.
JamiiForums-479349169.jpg
 
Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27/11/2024?

Mpaka jana tarehe 29/11/2024, mtandaoni anasomeka, ila tunasoma habari zinazohusu mambo mengine lakini sio kukipongeza chama chake kwa ushindi wa kihistoria!!Ajabu!

Yaani alipongeza Taifa Stars kwa ushindi halafu chama chake kakipotezea!

Ajiuzulu.
Hapo mantiki yake itakuwa ni ipi?
 
Atasema tu. Ameanza kuwatanguliza hao viongozi wa dini ubwabwa, vyama vya upinzani walivyovinunua n.k halafu atakuja yeye kumalizia
 
Saa nyingine (in Anko Joni's voice), kibonde ndiye anapongezwa ili kutiwa moyo.

Sasa chama ambacho kimekuwa mshindi mfululizo takriban miaka 100 sasa, kinahitaji pongezi gani?
 
Pamoja na kupata ushindi wa kishindo hawana furaha kabisa hapa mtaani wanapita kwa kujificha ficha mnooo 😁😁😁
 
Back
Top Bottom