LGE2024 Mbona Rais Samia hajakipongeza chama chake kwa ushindi wa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27/11/2024?

Mpaka jana tarehe 29/11/2024, mtandaoni anasomeka, ila tunasoma habari zinazohusu mambo mengine lakini sio kukipongeza chama chake kwa ushindi wa kihistoria!!Ajabu!

Yaani alipongeza Taifa Stars kwa ushindi halafu chama chake kakipotezea!

Ajiuzulu.
 
Naona nyumbu umechangangikiwa, vp mbowe ameandika huko kuhusu kupoteza kwake au unamfuatilia zaidi SSH kuliko yeye?!!! Back tu yua kwesheni; Wana utaratibu wao na wakishamaliza watapongezana.......we hudhuria kwanza vikao vya mbowe na lissu labda watatangaza maandamano huko uandamaneπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Aiseeee!!!
 
Ushindi wa zuga fala kwa jamu?
 
Yeye mwenyewe anajua kilichofanyika
 
...ntarudi....
😷😷😷😷😷

Sitaki sema chochote mambo ya hovyooo kwa sasaa..
 
Kama ana Akili TIMAMU kweli hawezi kusifu upuuzi huu wa uchaguzi uliojaa mavi matupu.
 
Hapo mantiki yake itakuwa ni ipi?
 
Sasa awapongeze Kwa ushindi ktk uchaguzi ambao wagombea wameuwawa na polisi?
 
Atasema tu. Ameanza kuwatanguliza hao viongozi wa dini ubwabwa, vyama vya upinzani walivyovinunua n.k halafu atakuja yeye kumalizia
 
Saa nyingine (in Anko Joni's voice), kibonde ndiye anapongezwa ili kutiwa moyo.

Sasa chama ambacho kimekuwa mshindi mfululizo takriban miaka 100 sasa, kinahitaji pongezi gani?
 
Pamoja na kupata ushindi wa kishindo hawana furaha kabisa hapa mtaani wanapita kwa kujificha ficha mnooo 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…