Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Mitando ndio inatoa taswira ya hali halisi.
Kwa mantiki hii ni kuwa bado rais Samia hakubaliki kama ilivyokuwa mtangulizi wake.
Nimeona jana kuna mmoja yupo Kibaha. Anaponda watu kupinga Simbachawene kutumbuliwa. Naona kama mtu ambaye hajitambui.
Kwa ufupi watu hawamkubali kabisa Rais Samia. Wanaomuunga mkono ni watu wa hovyohovyo na hawakubaliki.