Mbona Rais Samia hana watetezi mitandaoni kama mtangulizi wake Magufuli? Wanaojaribu kumtetea ni kama hawana mashiko

Mbona Rais Samia hana watetezi mitandaoni kama mtangulizi wake Magufuli? Wanaojaribu kumtetea ni kama hawana mashiko

Pamoja na kuwa Kuna fedha nyingi sana wamepewa hawa UVCCM kumtetea mtandaoni lakini kura ya Siri ya tuzo Rais Samia kuwa ni Dikteta wa kwanza duniani walishindwa kuipangua hii inaonesha walivyo wachache sana kwenye mitandao

kavulata Tlaatlaah THE BIG SHOW Ritz Lucas mwashamba GENTAMYCINE
Mlileta ujinga siku ile mkanyooshwa na vyombo vya ulinzi, hizi kelele za kumuita dikteta hazina mantiki yoyote.

Alilazimika kuilinda katiba ya nchi, inayomtaka awalinde watu na mali zao. Nyinyi mlileta uhuni halafu mlipopewa adhabu mkaanza kujiliza kwa mabwana zenu wazungu kwamba SSH anavunja haki za binadamu.

Nani aliyevunja haki za binadamu kati yenu na Rais?. Mlikata watu vidole, mkauwa mapolisi pale Magomeni mliposhughulikiwa mkaanza kutoa milio.
 
Tangu mwaka 1963 marais 22 wa Afrika wameuwawa kwa sababu ya kupinga sera za magharibi.

Kilichotokea October 29 kilikuwa kiwe sehemu ya yale yale mapinduzi ya nchi za Afrika, washukuriwe sana watu wa usalama na mapolisi kwa kuilinda nchi hii.

Ukikua na kupata akili utaweza kuunganisha kilichotokea siku ile na sera za SSH za kupigania rasilimali za nchi. Wale wanaharakati wanatumiwa katika mtindo mpya wa mataifa makubwa kuiingilia afrika na kuidhoofisha.

Hivi sasa tunavyoongea lengo la kuidhoofisha TZ kwa kiasi fulani limefanikiwa kwa kuangalia namna sisi kwa sisi tunavyopoteza ule upendo baada ya vifo vingi vya siku ile.

Inahitaji akili kubwa kuweza kuona ni kwa namna gani nchi hii inavyopigwa vita.
Ni raslimali gani hizo ambazo ni nchi hii tu ndio inazo kiasi cha kufanya zimezewe mate na mataifa ya nje na kwa nini hazijatumika kuwaondolea umaskini wananchi wa nchi hii ambao wanaogelea kwenye lindi kubwa la ufukara.
 
Kuna madini hayajaguswa kabisa. Lile Ziwa Tanganyika halijatumika ipasavyo.

Uwanja wa ndege wa Mwanza umekusudiwa kuwa kituo cha biashara kanda ya ziwa (economic hub) hayati JPM aliona hiyo fursa akaacha ameanzisha ujenzi wa daraja la Busisi ili eneo lile lifunguke kabisa kiuchumi.

Mkoa wa Lindi bado haujaguswa na una fursa nyingi za kiuchumi.

Fukwe ina bandari tatu kubwa, hivi karibuni itajengwa bandari ya Bagamoyo, pato la bandari nne litaweza kuuendesha uchumi mzima wa Tanzania pasipo kutegemea pesa ya wazungu.
 
Pamoja na kuwa Kuna fedha nyingi sana wamepewa hawa UVCCM kumtetea mtandaoni lakini kura ya Siri ya tuzo Rais Samia kuwa ni Dikteta wa kwanza duniani walishindwa kuipangua hii inaonesha walivyo wachache sana kwenye mitandao

kavulata Tlaatlaah THE BIG SHOW Ritz Lucas mwashamba GENTAMYCINE
nonsense,

jana mabalozi wote wanao ziwakilisha nchi zao hapa Tanzania wamemsujudia rais Dr.Samia Suluhu Hassana kipenzi cha waTanzanai mbele wa uso wa Dunia kuashiria kwamba mama huyu madhubuti ndie kinara wa amani na demokrasia Africa. :BillyApprove:
 
Mitando ndio inatoa taswira ya hali halisi.

Kwa mantiki hii ni kuwa bado rais Samia hakubaliki kama ilivyokuwa mtangulizi wake.

Nimeona jana kuna mmoja yupo Kibaha. Anaponda watu kupinga Simbachawene kutumbuliwa. Naona kama mtu ambaye hajitambui.

Kwa ufupi watu hawamkubali kabisa Rais Samia. Wanaomuunga mkono ni watu wa hovyohovyo na hawakubaliki.
Akamatwe apelekwe ICC
 
Magufuli hakuhitaji watu wa kumpambania mitandaoni, watanzania wengi walikuwa nyuma yake hata (Mange Kimambi) huwa anakiri wazi , kumbuka siku ya maombolezo yake pale uwanja wa taifa walikufa watu 45 kwa mkanyagano na nchi nzima ilizizima kwa machozi na huzuni !
 
Back
Top Bottom