The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.
Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa kuwa iliundwa na wanasiasa tena kakikundi kadogo tu ka wanasiasa.
Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa ni kwamba katiba ni utaratibu ambao sisi raia tutakubaliana utumike kituongoza.
Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!?
Kwa hiyo ccm imeongoza watu wasio ijua katiba kwa zaidi ya miaka 60 baada ya kuwadai sana 2014 wakatuletea pendekezwa tena huyuhuyu rais akiwa makamu mwenyekiti, Kwa hiyo walitaka KULETA katiba kwa mambumbumbu.!?
Kwani hii iliyopo elimu yake ilitolewa wapi wakati inaandikwa.?