benja
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 320
- 215
Hehheehe mi naomba Mungu aingilie kati kama mwaka 2021 mpk tumpate atakaekubali katiba mpyaMachafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio njia pekee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehheehe mi naomba Mungu aingilie kati kama mwaka 2021 mpk tumpate atakaekubali katiba mpyaMachafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio njia pekee.
Kwa Katiba gani?Sasa hivi tuna mfumo wa Vyama vingi.
Ule haukuwa ujanjaYule baba wa Taifa alikuwa mjanja sana
Ndugu yangu tumeshasema huyu mama haelewi anachowasilisha kwa Taifa analo liongoza na HAIJUI NCHI hii,hayo ndio matatizo makubwa yaliyopo kwa kiongozi aliyekabidhiwa Taifa HILI inasikitisha sana lkn tuendelee kumuomba MUNGU yupo na atatusikia.Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa...
Ndio hivyo tena Katiba Mpya ni Kaa la moto 😂😂Ule haukuwa ujanja
Nchi hii haiwezi kupata maendeleo kupitia viongozi wa aina hiiLeo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa...
Basi katiba hii hii ifanyiwe mabadiliko madogo ili Nchi isiingie kwenye machafuko ili tuingie kwenye uchaguzi.Ndio hivyo tena Katiba Mpya ni Kaa la moto 😂😂
Tabia zake za kike, hana uwezo wa kuongoza nchi Ni bora liende, siku ya siku atarudi Oman kwa wajomba zake Wala Zanzibar hawezi kukaa ndo maana wanajitahidi sana kuiba.Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa...
Mama Yuko sahihi,Katiba Mpya sio ya kuingiza Chadema madarakani.Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa...
Kusema katiba mpya isiandikwe kabla ya elimu kutolewa ni sawa na kusema mwanafunzi alielimishwe kabla ya kujua kusoma. Nyere alipodai uhuru watanganyika wangapi walikuwa wanajua hata maana ya uhuru wenyewe?Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.
Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa kuwa iliundwa na wanasiasa tena kakikundi kadogo tu ka wanasiasa.
Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa ni kwamba katiba ni utaratibu ambao sisi raia tutakubaliana utumike kituongoza.
Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!?
Kwa hiyo ccm imeongoza watu wasio ijua katiba kwa zaidi ya miaka 60 baada ya kuwadai sana 2014 wakatuletea pendekezwa tena huyuhuyu rais akiwa makamu mwenyekiti, Kwa hiyo walitaka KULETA katiba kwa mambumbumbu.!?
Kwani hii iliyopo elimu yake ilitolewa wapi wakati inaandikwa.?
Na wewe ndugu hebu kuwa serious kidogo basi au ndo mama mwenyewe umekuja na hidden Id!?Mama Yuko sahihi,Katiba Mpya sio ya kuingiza Chadema madarakani.
Toeni Elimu ya Katiba Ili tukija kwenye maoni watu wake Cha kuchangia badala ya kudanganya watu kwamba Katiba Mpya itawaletea chakula mezani.
Wewe unaijua? Kazi ya DC vs DED ni zipi?Na wewe ndugu hebu kuwa serious kidogo basi au ndo mama mwenyewe umekuja na hidden Id!?
Miaka yote tumeishi Kwa mujibu wa katiba leo useme hatuijui katiba!? Kwani watanzania wametokea marekani!?
Si ni hawahawa wanaotekeleza majukumu yao ya Kila siku Kwa kuzingatia katiba!?
Au unataka wakaririshwe maandishi ambayo Nina hakika hata huyo rais hajakariri
Yap ni Kwa sababu hiyo wangeulizwa na kusikilizwa wananchi wanataka katiba mpya lini na sio kiongozi mmoja anasimama kuwajibia kwamba eti hawaijui huu ni usanii wa kiwango cha kutisha na dharau kubwa sana Kwa wananchi!Duniani kote mchakato va Katiba ni wa Wananchi!
Kwa hiyo Kwa akili yako unadhani Kuna wakati utafika wa Kila raia kujua hayo?Wewe unaijua? Kazi ya DC vs DED ni zipi?
Mwananchi ni nani?Duniani kote mchakato va Katiba ni wa Wananchi!
Hujamurlewa na ngumu kuelewa unless unajua katiba ni niniLeo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.
Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa kuwa iliundwa na wanasiasa tena kakikundi kadogo tu ka wanasiasa.
Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa ni kwamba katiba ni utaratibu ambao sisi raia tutakubaliana utumike kituongoza.
Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!?
Kwa hiyo ccm imeongoza watu wasio ijua katiba kwa zaidi ya miaka 60 baada ya kuwadai sana 2014 wakatuletea pendekezwa tena huyuhuyu rais akiwa makamu mwenyekiti, Kwa hiyo walitaka KULETA katiba kwa mambumbumbu.!?
Kwani hii iliyopo elimu yake ilitolewa wapi wakati inaandikwa.?