Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

Nami naona kama kanichanganya zaidi. Kwani wanasiasa siyo wananchi au wao wanakaa nje ya Tanzania?

Mbona sheria zinatungwa na hakuna ulazima wa kuwapa wananchi elimu ya sheria inayotaka kutungwa kwanza?

Sasa kama sheria zinatungwa bila ya wanachi kupewa elimu kwanza, kwa nini kutunga au kuandika katiba mpya ndiyo elimu hiyo itolewe kwanza wakati katiba nayo ni sheria (sheria mama)?
Yaan,
Wanaibua mjadala mzito kama ni ivyo
Hata wapigakura wale fuata mkumbo walitamiwa wazuiwe kupiga kura mpaka pale ambapo wataelimika............
Maana KURA YA MTU MJINGA NA MWEREVU ZOTE ZINA UZITO SAWA KWENYE SECRET BALLOT 🗳️

Kwa Sasa yangu ni hayo tu..
 
Kweli! Kila kitu kisubiri elimu kwanza maana si wananchi hawajaelewa bado?
 
Back
Top Bottom