Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa...
Ndugu yangu tumeshasema huyu mama haelewi anachowasilisha kwa Taifa analo liongoza na HAIJUI NCHI hii,hayo ndio matatizo makubwa yaliyopo kwa kiongozi aliyekabidhiwa Taifa HILI inasikitisha sana lkn tuendelee kumuomba MUNGU yupo na atatusikia.
 
Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa...
Nchi hii haiwezi kupata maendeleo kupitia viongozi wa aina hii
 
Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa...
Tabia zake za kike, hana uwezo wa kuongoza nchi Ni bora liende, siku ya siku atarudi Oman kwa wajomba zake Wala Zanzibar hawezi kukaa ndo maana wanajitahidi sana kuiba.
 
Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa...
Mama Yuko sahihi,Katiba Mpya sio ya kuingiza Chadema madarakani.

Toeni Elimu ya Katiba Ili tukija kwenye maoni watu wake Cha kuchangia badala ya kudanganya watu kwamba Katiba Mpya itawaletea chakula mezani.
 
Kusema katiba mpya isiandikwe kabla ya elimu kutolewa ni sawa na kusema mwanafunzi alielimishwe kabla ya kujua kusoma. Nyere alipodai uhuru watanganyika wangapi walikuwa wanajua hata maana ya uhuru wenyewe?

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
Mama Yuko sahihi,Katiba Mpya sio ya kuingiza Chadema madarakani.

Toeni Elimu ya Katiba Ili tukija kwenye maoni watu wake Cha kuchangia badala ya kudanganya watu kwamba Katiba Mpya itawaletea chakula mezani.
Na wewe ndugu hebu kuwa serious kidogo basi au ndo mama mwenyewe umekuja na hidden Id!?
Miaka yote tumeishi Kwa mujibu wa katiba leo useme hatuijui katiba!? Kwani watanzania wametokea marekani!?
Si ni hawahawa wanaotekeleza majukumu yao ya Kila siku Kwa kuzingatia katiba!?
Au unataka wakaririshwe maandishi ambayo Nina hakika hata huyo rais hajakariri
 
Wewe unaijua? Kazi ya DC vs DED ni zipi?
 
Duniani kote mchakato va Katiba ni wa Wananchi!
Yap ni Kwa sababu hiyo wangeulizwa na kusikilizwa wananchi wanataka katiba mpya lini na sio kiongozi mmoja anasimama kuwajibia kwamba eti hawaijui huu ni usanii wa kiwango cha kutisha na dharau kubwa sana Kwa wananchi!
 
Wewe unaijua? Kazi ya DC vs DED ni zipi?
Kwa hiyo Kwa akili yako unadhani Kuna wakati utafika wa Kila raia kujua hayo?
Jambo kubwa ni kwamba wananchi wanatakiwa waulizwe Kisha watoe mawazo yao kuhusu namna wanatamani kuongozwa, katika maisha yao ya Kila siku.
 
Hujamurlewa na ngumu kuelewa unless unajua katiba ni nini

Btw katiba iliyopo ilitengenezwa na wananchi
 
Wakuu samahani natoka nje ya mada, nauliza nini Kirefu Cha Neno UKAWA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…