Nami naona kama kanichanganya zaidi. Kwani wanasiasa siyo wananchi au wao wanakaa nje ya Tanzania?
Mbona sheria zinatungwa na hakuna ulazima wa kuwapa wananchi elimu ya sheria inayotaka kutungwa kwanza?
Sasa kama sheria zinatungwa bila ya wanachi kupewa elimu kwanza, kwa nini kutunga au kuandika katiba mpya ndiyo elimu hiyo itolewe kwanza wakati katiba nayo ni sheria (sheria mama)?