PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,288
- 17,333
Kila mtu hasa waandishi kama Salim kikeke maulid kitenge wanaisifia ripoti hata kabla haijatoka n kwamba wenzetu tayari wameiona
Ripoti inatolewa leo lakn WATU wanaisifia sijaelewa nn maana yake
Hii nchi kuna sehemu imefika kila kitu n kisifia na haya hayaji hvhv laZma kuna WATU wapo nyuma yao kusapoti haya