GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu......Simba SC ifanye vizuri na akina Mangungu? Unaota au?Timu Inafanyiwa Maboresho Makubwa Sana Kwa Hatua Mbalimbali Ikiwemo
Kufanya Usajiri Wa Wachezaji Ambao Wataleta Malengo Makuu Hasa Kuchota Vikombe
Eneo La Uongozi Nalo Pia Litaguswa
Vuta Subira Kidogo Mambo Yatakuwa Buru Buru
Watatupisha Punde Maana Siyo Maombi Tena!!!Thubutu......Simba SC ifanye vizuri na akina Mangungu? Unaota au?
Hakuna wa kumuondoa Mangungu zaidi ya mkutano mkuu wa Simba na uongozi uliopo madarakani ndio unao andaa mkutano mkuu.Sumba bingwa wa Muungano
mie pia nimesikitika sana,pia sipendi azam iwe namba 2 naomba kwa Mola simba awe no 2Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
Mkuu kwa wale viongozi tulioko nao subutuu hata hilo la mapinduzi kama tumepewa kwakweli inahitajika nguvu kubwa tubadili uongozi kwanza.Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
Nakuunga mkono mpaka tuwabadiliThubutu......Simba SC ifanye vizuri na akina Mangungu? Unaota au?
wewe tu ndo umebaki na moyo wa nyama unapumua wenzio mioyo yao ya udogo imesombwa na mvua zinazoendelea Dar essalaam.Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
Tupo bahna Simba tumeipenda wenyewe.wewe tu ndo umebaki na moyo wa nyama unapumua wenzio mioyo yao ya udogo imesombwa na mvua zinazoendelea Dar essalaam.
I doubt that!! ngoja tuone!Timu Inafanyiwa Maboresho Makubwa Sana Kwa Hatua Mbalimbali Ikiwemo
Kufanya Usajiri Wa Wachezaji Ambao Wataleta Malengo Makuu Hasa Kuchota Vikombe
Eneo La Uongozi Nalo Pia Litaguswa
Vuta Subira Kidogo Mambo Yatakuwa Buru Buru
Bonanza CupMkuu kwa wale viongozi tulioko nao subutuu hata hilo la mapinduzi kama tumepewa kwakweli inahitajika nguvu kubwa tubadili uongozi kwanza.
Futa haraka hii post Mkuu itakufanya ule BAN kwani Name Calling hairuhusiwi hapa JamiiForums.Sawa Ahmed Ally
Futa haraka hii post Mkuu itakufanya ule BAN kwani Name Calling hairuhusiwi hapa JamiiForums.
Tupo bahna Simba tumeipenda wenyewe.