GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Mimi ni GENTAYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mshindi wa Tuzo ya Hela na Zawadi ya Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums nzima kwa Msimu wa mwaka 2022 / 2023 na nina uhakika hata Shindano likiendelea leo kwa Utajiri mkubwa nilionao wa Habari za Michezo na Uchambuzi bado nitashinda tu tena.We ni nani?