Mbona sasa hivi Mashabiki wa Simba SC 'tumedoda' sana hapa JamiiForums Kulikoni?

Timu Inafanyiwa Maboresho Makubwa Sana Kwa Hatua Mbalimbali Ikiwemo
Kufanya Usajiri Wa Wachezaji Ambao Wataleta Malengo Makuu Hasa Kuchota Vikombe
Eneo La Uongozi Nalo Pia Litaguswa

Vuta Subira Kidogo Mambo Yatakuwa Buru Buru
 
Thubutu......Simba SC ifanye vizuri na akina Mangungu? Unaota au?
 
Bado wanajadili goli la Aziz ki na Usajili wa Pacome 😀 wakimaliza watarejea
 
Sumba bingwa wa Muungano
Hakuna wa kumuondoa Mangungu zaidi ya mkutano mkuu wa Simba na uongozi uliopo madarakani ndio unao andaa mkutano mkuu.
MO pekeyake Tena akiona ipo sababu ndiye mwenye uwezo wa kumuondoa Try again nayeye Mo Hana uwezo wa kumuondoa Mangungu.
Kwasasa muendelee kuwa na uvumilivu mpaka mkutano mkuu wa uvhaguzi
 
Tupo, nasemaa tupo gado, ni upepo tu.
 
Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
mie pia nimesikitika sana,pia sipendi azam iwe namba 2 naomba kwa Mola simba awe no 2
 
Bado wanajadili usajili wa Kibunenga na Chama waliowagomea
 
Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
Mkuu kwa wale viongozi tulioko nao subutuu hata hilo la mapinduzi kama tumepewa kwakweli inahitajika nguvu kubwa tubadili uongozi kwanza.
 
Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
wewe tu ndo umebaki na moyo wa nyama unapumua wenzio mioyo yao ya udogo imesombwa na mvua zinazoendelea Dar essalaam.
 
Timu Inafanyiwa Maboresho Makubwa Sana Kwa Hatua Mbalimbali Ikiwemo
Kufanya Usajiri Wa Wachezaji Ambao Wataleta Malengo Makuu Hasa Kuchota Vikombe
Eneo La Uongozi Nalo Pia Litaguswa

Vuta Subira Kidogo Mambo Yatakuwa Buru Buru
I doubt that!! ngoja tuone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…