Mimi ni GENTAYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mshindi wa Tuzo ya Hela na Zawadi ya Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums nzima kwa Msimu wa mwaka 2022 / 2023 na nina uhakika hata Shindano likiendelea leo kwa Utajiri mkubwa nilionao wa Habari za Michezo na Uchambuzi bado nitashinda tu tena.