Mbona shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi dhidi ya dollar ya Marekani?

Mbona shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi dhidi ya dollar ya Marekani?

Ni wenye dollar yao wameamua kupunguza usambazaji kuongeza scarcity ya dollars
 
Tuna import zaidi kuliko tunavyo export lazima tukwame TU!!

Ili shilingi iwe na thamani lazima TU export zaidi ya ku import!

lazima ianguke TU we huoni juzi tunaletewa mchele was lishe,mara sukari itoke Brazil !!

upumbafu hata sukari TU!!?hatuna eneo la kulima miwa!?tumeshindwa kusimamia uzalishaji sukari!!?kama raw materials ni chache jkt na magereza kwanini.wasiwezeshwe wazalishe miwa ya kutosha na viwanda vya sukari viongezeke!!?

subirini!nitawafundisha nchi inavyopaswa kuongozwa IPO siku!!!
 
Bi Kiguu na njia alidhani uongozi ni kuimba taarab na kula urojo.
 
TUMENUNUA TEAM TATU SIGIDA KWA DOLA

Duh! Ni aibu mno mkuu, yani team zinanunuliwa kwa dollar!

Waruhusu Uraia pacha waone shilingi itakavyopanda kwa kasi, wawekezaji watamiminika, watu watapata ajira, serikali itanufaika na makodi, wataexport bidhaa nje ya nchi n.k
 
Kwanini isiporomoke!!?kama mtu anauza bandari Ili apate fedha za kampeni ya kugawa chupi Kwa kina mama Tanzania nzima unafikiri Nini kitafuata!!?
Duh ngoja nimuulize lishangazi langu la kunitoa stress kama limepata mgao wa kyupi!
 
Duh! Ni aibu mno mkuu, yani team zinanunuliwa kwa dollar!

Waruhusu Uraia pacha waone shilingi itakavyopanda kwa kasi, wawekezaji watamiminika, watu watapata ajira, serikali itanufaika na makodi, wataexport bidhaa nje ya nchi n.k
Hivi ni kwanini zile solution ambazo ndizo zingeweza kutatua hizi shida mazima hua hazifanywi ina mana hazifanywi makusudi kama hili la dola ina mana kuna watu wana INTERESTS zao hapo si ndio..
 
Back
Top Bottom